Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hizo ni baadhi ya picha zilizopigwa kwenye eneo la ubomoaji wa nyumba za wafanyakazi wa Bandari kupisha mwekezaji kwenye kituo cha mabasi yaendayo kwa kasi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Nimefuatilia kampeni za ubunge huko jimboni Arumeru mashariki kupitia vyombo vya habari.Kuna madai kuwa uelewa na uwezo wa mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari juu ya mambo mbalimbali ya...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo Mgombea wa chama cha SAU huko Arumeru akihutubia mkutano wa kampeni uliokuwa na watoto na watu wengine kiduchu ameahidi kujenga reli ya kutumia makaa ya mawe ya Liganga,akiongea kama anapiga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ebu tujikumbushe kidogo katika haya ili kuondoa ama kupunguza pressure huko Arumeru hapo 1st April 2012 (Foolish Day) By Dr.W.Slaa (Katibu Mkuu Chadema) WanaJF, Niko uzini leo siku ya Tatu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I wonder!!!??? Wen wud it end from most of our political leaders in Tanzania?? Let me hear ur views lads
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kusoma bure............ kama mvivu wa kusoma ipotezee UDADISI: Rethinking in Action: MJADALA WA UJANA NA URAIS WAZIDI KUPAMBA MOTO
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhani sote tunataarifa kwamba kuna tangazo linalorushwa na REDIO CLOUDS la kuhamasisha wanachama na wapenzi wa CHADEMA kukichangia chama hicho. Taarifa RASMI zinasema Mwaandaaji wa sherehe...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wana JF hii mada nimeipenda na ninaiwasisha kama ilivyoandikwa. tafadhali jisikie huru kutoa maoni kwa lugha yo yote kati ya lugha zetu kuu: Kiswahili, Kiingereza, au Kiswangereza A title is a...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Wakuu inasemekana leo kuanzia saa kumi jioni kutakuwa na kikao cha ndani cha ccm kitakachofanyika katika madarasa ya shule ya msingi Ngongongare na katika kikao hicho atakuwepo January Makamba na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kupigwa kwa Mwanafunzi wa Makumira ambaye ni kada wa CCM haihusiani kabisa na Siasa,nilikuwepo eneo la tukio na hakupigiwa nyumbani ni ugonvi wa Bar,Mwandishi wa Mwananchi kuhusu hii habari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza napenda kuwa wazi kwamba Sikukubali Lowasa kama Mtanzania unayestahiri kuwa kiongozi wa Taifa letu kama Taifa kutokana na Historia yako isiyoridhisha. Lakini napenda pia kuwa wazi kwamba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kujikuta akizama kwenye tope zito siku ya ufunguzi,rais mstaaf ben hataki tena kurudi arumeru mash kushiriki ktk kufungwa kwa kampeni za uchaguzi mdogo mwishoni mwa mwezi huu.Katika...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimeachwa nyuma kidogo na update za madiwani wa CHADEMA waliofukuzwa Arusha. Je uchaguzi wao nao unafanyika April sambamba na wa mbuge wa Arumeru au bado kuna issue za kimahakama hazijakamilika?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Songea Peter Mboya akiwasalimia wananchi wa Kata ya Lizaboni wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya sokoni wa kumsaka Diwani wa Kata hiyo...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo? Source: ITV
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Na Stephano Mango, Songea WANANCHI wametakiwa kuwa makini katika kuzisikiliza sera na ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ili waweze kuchukua hatua stahiki katika Uchaguzi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kada wa CCM na Mkuu wa zamani wa Wilaya mbalimbali nchini kesho ataanza kutoa ushahidi wa kumng'oa kijana wa CHADEMA John Mnyika asiwe mbunge wa Ubungo. Kada huyo ataambatana na wanachama wengine...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Kwa mimi ninavyoelewa kuwa Mtoto akizaliwa nchi za nje ila wazazi wote wakawa ni waTZ anahesabiwa kuwa ni raia wa nchi ambayo amezaliwa automatically mpaka akifikisha miaka 18 ndio anaweza kuapa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
kampeni zinazoendelea huko Arumeru zinanipa picha moja kuwa wanasiasa wengi wanaamini kuwa wananchi wengi ni wajinga na ambao hawaelewi chochote kinachoendelea nchini kiasi cha kuwaambia mambo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Inasikitisha wakati mapato kwenye sekta ya madini(haswa gold)yakiongezeka....hali za maisha ya Watanzania zinazidi kuwa doro...yaani gap ya upungufu wa urari...accounts deficit...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…