WanaJF,
Nawashukuru mliorekodi thread yenye kuonyesha Ndugu Lusinde akikisaidia chama chake katika kampeni Arumeru Mashariki. Nimesikiliza kwa makini, iwapo kila wakati nilijikuta natabasamu...
Ninawashukuru sana watu wa Arumeru Mashariki ambao hawakujali umri wangu, uwezo wangu kifedha, historia ya familia yangu katika siasa, na mapungufu niliyokuwa nayo lakini wakakubali...
Jamani migogoro katika vyama ni sehemu ya demokrasia hata mtu aseme anataka kwenda ikulu ni haki yake kusema hatuna haja ya kubishana humu kwa heshima na taadhima naomba niwapongeze makamanda wote...
Na. M. M. Mwanakijiji
Rekodi ya uongozi wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linapokuja suala la uchaguzi mdogo ni rekodi mbaya na ambayo ingetosha kabisa kusababisha uongozi...
Watawala waelewe kuwa hapa issue sio Chadema ila ni kuwa watu wamechoshwa na CCM na ufisadi wao. Ni sawa na ushindi wa Lusinde kule mtera hata kama wangesema Malecela apigiwe kura na kivuli basi...
Mzee
Najua huwa unapitia hapa ukikwanguiwa kule Facebook, au "mtuitui" anakujuza yanayoendelea, ila mchunge sana, ni mnafiki huwa anakumwagia porojo na umbeaumbea tu sanasana siku akiwa anasaka...
Ukiwa kama rais mstaafu na amiri jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama unatakiwa kuwa mshauri mkuu na mlezi wa viongozi wa kisiasa wa vyama vyote bila ubaguzi. Unatakiwa kuwa encyclopedia kwa...
Chama cha Democrasia na Maendeleo kimefanikiwa kutwaa ushindi wa jimbo la Arumeru ambalo
kwa mda mrefu limekuwa ni ngome ya CCM,Kuna tetesi kuwa kumekuwa na wizi wa kura
wa wazi wazi uliokuwa...
Uchaguzi mdogo wa Arumeru umenifundisha kwamba (1) nchi inaelekea kubaya sana kiusalama kwani waheshimiwa wanaotutawala wamepungukiwa na busara isiyo kifani katika historia ya nchi hii. Mambo ya...
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wenzangu wachapakazi wa tume ya uchaguzi kwa kutangaza matokeo ya ukweli Arumeru, nimegundua watu hawa wanavunjika moyo na kukosa morali kwa sababu hata...
Posted on April 1, 2012 by zanzibaryetu
Wakili Maarufu wa Zanzibar Awadh Ali Said akitoa mada katika kongamano la katiba lililofanyika leo katika ukumbi wa Bwawani hoteli
Tuanze kwa kueleza...
Nomba tufike mahala viongozi wetu wa dini hasa wanaotumiwa kuchukua fedha chafu,kwenye chaguzi za viongozi wa siasa au harambee za ujen na mungu piazi wowote,mnatumaliza kiimani ,nawaomba ni...
Mvutano mwingine umeibuka CUF baada ya Maalim Seif na wabunge kuweka nguvu kubwa katika uchaguzi wa kata ya Vijibweni na kuambulia nafasi ya tatu.
Baadhi ya viongozi wa chama hicho wamesema...
Kama kawaida wana JF pipoooooooooo ..............
Swali langu ni fupi kwa waheshimiwa wa CUF
ushindi wa CDM arumewru CUF wanajifunza nini?
Itfaki imezingatiwa naomba kuwasilisha
Ikawa usiku na siku ya kwanza ya juma, EL alipata kutamba kuwa yeye na JK hawakukutania barabarani, ila imedhihirika wazi kuwa njemba hizi zilikutana uchochoroni na wameachania soko la usa na maji...