Hapa sio Chadema ila wananchi wamechoshwa na utawala wa CCM

Lastname

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
922
296
Watawala waelewe kuwa hapa issue sio Chadema ila ni kuwa watu wamechoshwa na CCM na ufisadi wao. Ni sawa na ushindi wa Lusinde kule mtera hata kama wangesema Malecela apigiwe kura na kivuli basi kivuli kingeshinda. Sasa anzeni kujitoa CCM taratibu kabla hamjakufa nayo maana itawa cost even life.
 
Kwakifupi CHADEMA HATUWATAKI.... Hatuwezi kumbatia wezi wenye kunyanyasa wananchi wa Tanzania... hivi kweli Tanzania ya leo ni ya kudanganya watu na kanga na kofia???? CHADEMA tumesema hatuna uwezo wa kuhonga t-shirt, kanga na kofia, ila tuna muda wa kupambana na mafisadi..... CHADEMA CHADEMA ---- PEOPLE'S POWER....
 
Ccm wamebweteka as if hamna atakaewatikisa. Ki ukweli hata asiependa siasa kama mie kwakweli inachosha sana, potelea mbali miaka 50 ya uhuru yet matatizo lukuki. Hivi tunaonekanaje mbele ya jumuiya za kimataifa na rasilimalizooote tulizonazo?
Ufisadi unateteresha uchumi wa taifa hili.
 
Kwakifupi CHADEMA HATUWATAKI.... Hatuwezi kumbatia wezi wenye kunyanyasa wananchi wa Tanzania... hivi kweli Tanzania ya leo ni ya kudanganya watu na kanga na kofia???? CHADEMA tumesema hatuna uwezo wa kuhonga t-shirt, kanga na kofia, ila tuna muda wa kupambana na mafisadi..... CHADEMA CHADEMA ---- PEOPLE'S POWER....

Hapo juu i believ ulimaanisha "CCM HATUWATAKI"
 
Kama hoja sio chadema, kwa nini wananch wasiipe kura hata SAU au NRA kama hoja ni wananch kuichoka ccm, achanaga na m4c, inachachua ile ile.......
 
hilo la kwamba watu wamechoshwa na utawala wa ccm nakubaliana na wewe,lakini vilevile huwezi kukanusha kuwa cdm hawana lolote katika swala la kuwainua watanzania kidemokrasia.Kama ishu sio cdm kwa nini mshindi asingekuwa tlp,sau, nra au afp.Kama tuko pamoja sawa lakini kama bado hujajiunga na hili jeshi la cdm wengine ndo hivyo tunaendelea.Viva Nassari,Viva Chadema
 
Watawala waelewe kuwa hapa issue sio Chadema ila ni kuwa watu wamechoshwa na CCM na ufisadi wao. Ni sawa na ushindi wa Lusinde kule mtera hata kama wangesema Malecela apigiwe kura na kivuli basi kivuli kingeshinda. Sasa anzeni kujitoa CCM taratibu kabla hamjakufa nayo maana itawa cost even life.

mkuu sijui unamaanisha nini?, labda sijakuelewa inavyoonnyesha wewe ni wale CCM wanaoamini kama magamba yatang'olewa basi mambo safi... Mimi nafikiri kulikuwa na vyama vingi katika uchaguzi ule na CDM ndiyo imeonyesha kuwa na sera nzuri hadi ikapigiwa kura nyingi na wana Arumeru... Kama haitoshi CDM wametumia nguvu nyingi kama Chama na Viongozi wake kuwaelimisha watu na Kulinda kura. Can you imagine hadi wabunge walikuwa mawakala kwa vile vituo muhimu... Embu angalia kama hata CCM na UWT, Polisi, JWTZ pamoja na wakoloni wao aka Wawekezaji.. wanishiwa mbinu

Kwa hiyo kusema Hapa siyo Chadema ila..... imi nafikiri wewe hauko sahihi basi ulitakiwa kusema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom