Hiongera tume ya uchaguzi Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiongera tume ya uchaguzi Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Lukansola, Apr 2, 2012.

 1. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wenzangu wachapakazi wa tume ya uchaguzi kwa kutangaza matokeo ya ukweli Arumeru, nimegundua watu hawa wanavunjika moyo na kukosa morali kwa sababu hata wanapofanya kazi zao vizuri hakuna anaye onesha ku appreciate, sasa nataka niwe wa kwanza kuwapongeza kwa kazi hii ngumu ya kutangaza chadema kama washindi huko Arumeru, na hii iwe chachu kwa chaguzi zingine zote zitakazotokea, na hatimaye uchaguzi mkuu 2015.

  Shukrani za kipekee ziwaendee wana Arumeru kwa kuonesha mfano wa kutokubali kuwekwa kwenye kundi la wajinga wanashabikia vyama visivyokuwa na tija kwa maslahi ya mtanzania. Nawapongeza sana kwa kuwafunika Igunga walioamua kuchagua ccm ilendelee kuwala kwa miaka mingine mitano, huku wakichakachua wake zao.

  Asanteni kwa kunisikiliza
  Kigumu Chama Cha Mapinduzi
   
 2. E

  ESAM JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  nami nawapongeza sana tu
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Eeee bana, maana naona watu wamekazana tu hongera chadema, hongera Nassari nk. wanmsahahu aliyewatangazia ushindi teh teh teh.
   
 4. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bila shinikizo la CDM wangetangaza matokeo halali?
   
Loading...