Wachungaji na maasikofu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachungaji na maasikofu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by wizaga, Apr 2, 2012.

 1. wizaga

  wizaga Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nomba tufike mahala viongozi wetu wa dini hasa wanaotumiwa kuchukua fedha chafu,kwenye chaguzi za viongozi wa siasa au harambee za ujen na mungu piazi wowote,mnatumaliza kiimani ,nawaomba ni vizuri mjitoe kwenye kazi ya mungu kabla hamjahukumiwa au wananchi hawajachukua jukumu la kuwatoa kwenye uongozi ,ni aibu baba akiwa muovu mbele ya watoto
   
 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  vIONGOZI HAWA WA DINI NDIO WANAORUHUSU WEZI WA EPA KUINGIA NA KUTOA MICHANGO MIKUBWA MAKANISANI!!
  WANARUHUSU UVAAJI WA AIBU KANISANI KULINDA SADAKA!!!
   
 3. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tuwasamehe bure maana huenda hawajui nini watendalo
   
 4. Quanta

  Quanta Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Watu wa sasa wanapenda pesa,but adhabu yao inakuja
   
 5. U

  Ubongo Silaha Senior Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Yuda Iskariote alikuwa miongoni mwa mitume 12 wa Yesu...ingekuwa leo angekuwa Askofu wa cheo cha juu
  Lilichomwangusha??? Fedha
  Miongoni mwa wachungaji na ma_askofu, wapo kina Yuda Iskariote wengi tu. Wakisikia harufu ya fedha wanapagawa
   
Loading...