mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 943
Jamani migogoro katika vyama ni sehemu ya demokrasia hata mtu aseme anataka kwenda ikulu ni haki yake kusema hatuna haja ya kubishana humu kwa heshima na taadhima naomba niwapongeze makamanda wote walioshiriki kampeni arumeru kwa ushindi na nmpongeze mh kabwe zito kazi uliyofanya kiwira kirumba na lizaibon tumeiona hongera mkuu hayo ndo majukumu ya kugawana madaraka kama wote tungeenda arumeru kirumba, kiwira na lizaibon tungezikosa maana nguvu iliyopelekwa kirumba na magamba ni kubwa mno.
Tungezubaa tu wangechukua hongera ziende kwa wenje highness na wengine ila jaman kuna mtu anaitwa chiku abwao huyu mama ni noma kwa kweli anakijenga chama balaa alikuwepo mwanzo mwisho lizaibon na kiwira mama hongera sana tafuta jimbo iringa uwezo unao sehemu tulizoahidiwa tutashinda tumeshinda na zile zingine kama changombe dodoma tunahitaji nguvu ila kwa kata ya vijibweni nilijua lazima kura zigawanywe kwa vile kila chama kilikuwa na nguvu na ndo maana kura za cuf na chadema zikijumlishwa tunaizid ccm.
Siku nyingine ushirikiano ni muhimu katika upinzani hasa sehemu ambazo kila chama kina nguvu likizo inaisha kesho na kama nilivyoahidi kuwa kura yangu haipotei na nilitoka mwanza kuja arusha kushiriki zoezi hili na kazi tumeimaliza kesho narudi mwanza kuendelea kulijenga taifa ni hayo tu wana jf.