Kama itatoke, JK amelivunja baraza la Mawaziri kutokana na tuhuma za baadhi ya Mawaziri kuiibia nchi, na kisha akamshitaki hata mmoja wapo wa Mawaziri husika(hata kimagumashi tu kama ilivyo kwa...
wakubwa, hivi vitambulisho vya utaifa (na vya ukaazi kwa wale wasio raia) mwisho wake umefikia wapi? manake tunaona nchi zingine wameshafanya hivyo, na inakuwa rahisi sana hata kukamata wezi...
Wana JF, kwa mawazo yangu nafikiri ili nchi hii iwe salama na kutawalika ni lazima iwe ya mseto, lazima katiba ibadilishwe Rais aruhusiwe kuchagua mawaziri kutoka ktk chama chochote bila hivyo ni...
wadau hivi kwa nini members wengi wa ccm wanamuogopa huyu kijana kwani
1.sikusikia hata siku moja wakipinga matokeo ya ubunge
2.wakimsema kwenye mkutano yao ya kampeni
3.akisimama bungeni viongozi...
Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii...
Mmoja ataka uvunjike, mwingine kura ya maoni
Mjadala kuhusu kero za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, umefika pabaya, kufuatia baadhi ya wabunge kutoka Zanzibar na Wawakilishi, kutaka...
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano...
Huu ni ushindi mkubwa kwa CDM kufuatia kukubalika kwa hoja na mantiki za hoja.
CCM ilijua ni upepo kumbe ni kimbunga. JK kuvunja baraza la Mawaziri ni kudhihirisha sasa kuna taa nyekundu inawaka...
Baada ya hakimu mzuna kusoma hukumu iloyompa ushindi tundu lisu na kumhalalisha kuwa mbunge halali wa singida mashariki, mlalamikaji wa kwanza ndugu shabani selema ambaye ni "wa kwetu" namshauri...
Mheshimiwa sana Rais wetu, hii ni nafasi kwako kuwaonesha watanzania utendaji wako uliotukuka hata kama wamekuchoka wewe na chama chako! Nakushauri fanya mabadiliko ya balaza la mawaziri kwa...
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la juzi, maige anasema nyumba aliyonunua amenunua kwa mkopo kutika crdb bank, na kwa mliosoma lile gazeti mtakuwa mmeuona mchanganuo wote alivyoeleza, cha ajabu...
JF
Binafsi nafarijika sana kuona mbunge wangu ambaye nimemwamini na kumpa kura yangu na baadae nagundua kuwa raisi wa nchi nae anamwamini hivyo hivyo na hata kuamua kumpa uwaziri; na sijisikii...
Wafungwa 2,973 wapata msamaha
Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride katika sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini...
, Apr 28th, 2012
Tanzania / Saturday April 28th 2012
MV Liemba's refurbishment to cost 800m euro
MV Liemba
The Germany government is expected to fund over euro 800 million for...
HUKUMU ya kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa jimbo la Segerea, yaliyompa ushindi Dk. Makongoro Mahanga (CCM), itatolewa Mei 2 mwaka huu.
Katika kesi hiyo inayosikilizwa na Jaji Ibrahim Juma...
Badala ya kuvunja baraza kama wengine wanavyotarajia au kutegemea Rais anaweza kufanya tu mabadiliko makubwa (major reshuffling) ambayo yatagusa karibu wizara zote lakini yasimguse Waziri Mkuu...
Jana nilikuwa katika jimbo la ubungo mahali kijiweni tunapiga story na washkaji. nikawaambia kwanini msifungue tawi la cdm hapa? wakaona wazo zuri. nikatafuta daftari tukaanza kuorodhesha majina...
Kesi ya uchaguzi ya kupinga kutangazwa kwa ndg Aeshi Hiraly CCM kuwa mbunge wa Sumbawanga mjini leo mashahidi wa pande zote mbili wamehitimisha kutoa ushahidi wao mbele ya jaji wa mahakama kuu mh...
Wakuu heshima kwenu!
Huku mtaani kwetu watu wanajiuliza baada ya CC ya CCM kuridhia na kusukwa upya baraza la mawaziri.
Je,PM Mizengo Pinda atarudishwa na akirudishwa wananchi tutafsiri vipi...