Why do CCM members fear alot about Zitto Zuberi Kabwe

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
wadau hivi kwa nini members wengi wa ccm wanamuogopa huyu kijana kwani
1.sikusikia hata siku moja wakipinga matokeo ya ubunge
2.wakimsema kwenye mkutano yao ya kampeni
3.akisimama bungeni viongozi wengi huwa wanaanza kutetemeka

hivi naombeni mnipe siri ni nini.....ya kumuogopa huyu kijana yaani hata anawanyima usingizi
 
Hawamuogopi bali wanamkubali
 
Hv huyo dagaa anaweza kutvisha sisi, mwambie kajipange upya ...kelele za inzi hazimtishi mtu kunya watachonga sana bt ccm numberi one
 
wadau hivi kwa nini members wengi wa ccm wanamuogopa huyu kijana kwani
1.sikusikia hata siku moja wakipinga matokeo ya ubunge
2.wakimsema kwenye mkutano yao ya kampeni
3.akisimama bungeni viongozi wengi huwa wanaanza kutetemeka

hivi naombeni mnipe siri ni nini.....ya kumuogopa huyu kijana yaani hata anawanyima usingizi

kwa sababu ana akili nyingi sana na busara kuliko viongozi waote wa chadema,na anajua kufanya siasa ndio mana kila hoja anayoibua lazima iwaguse wananchi wote bila kujali vyama.

ndio mana wenye uchungu na nchi hii tungependa agombee urais kupitia muungano wa upinzani
 
sasa kwanini hamkupeleka kesi mahakamani kupinga matokeo ya ubunge kama mlivyofanya kwa wabunge wengine
kwanini unapendekeza tupeleke ya zitto mahakamani na sio ya mbowe,ndesamburo,selasini au mchagga mwingine yeyote?kwanini unataka wabunge wasio wachagga ndio waenguliwe chadema,lengo lako ni nini hasa??????
 
nani amekwambia chadema na uchagga hebu acha ukabila
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom