Chadema imeshinda tena!

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Huu ni ushindi mkubwa kwa CDM kufuatia kukubalika kwa hoja na mantiki za hoja.
CCM ilijua ni upepo kumbe ni kimbunga. JK kuvunja baraza la Mawaziri ni kudhihirisha sasa kuna taa nyekundu inawaka na inakuja kwa kasi.
Aliona kuna walakini hoja ya Zitto ikipita watapata aibu kubwa sana???

JK anamkosi au ninini?????
 
Amekula matapishi yake make alisema kuwawajibisha mawaziri kutawapaisha CDM kwahiyo hakuwa tayari na sasa kakubali kuwatoa mhanga,JK huku si kuyatapika kisha ukayala matapishi yako yaliyojaa ulojo?


JK kila analolifanya anajaribu tu hakuna anachojiamini hata kidogo,kila wakati anafanya kwa kubahatisha hivi bcoz he lacks confidence himself in.
 
Cna tv, cna radio, niko porini sana! Hebu niambieni kavunja? Au ni jf na vituko vyake!
 
Mimi sisiemu inanifurahisha inavyojua kuzuga tu mpaka ikaonekana kama vile walishakusudia kuwaadhibu hawa hata kabla ya hii presha walopata....pipoooooooooooz!!
 
jk alisema serikali yangu haiendeshwi kwa kushnikizwa leo hii anavunja baraza la mawazr huku ajui aliyoyasema
 
JK hawezi kufanya maamuzi haraka haraka kana kwamba ni rais kupitia CDM, lazima azuge kidogo ili kuonyesha bado yupo na wanaCCM ingawa kwa taarifa za kiintellingensia, JK ni CDM damu damu ndiyo maana akitaka kuwatosa CCM au viongozi wake anawalipua kwanza then wanatoswa.
 
yes! ukiwa makini kutazama mambo yalivyo, jambo lolotea mbalo kikwete angefanya, iwe kutengua au kutotengua baraza la mawaziri faida ingebaki kuwa ya chadema tuu! hebu tazama mtego huu, angeamua kutotengua baraza la mawaziri, chadema wangeongezewa mtaji wa hoja, kwamba raisi wenu na chama chake pamoja na kuonyeshwa uozo wa baraza hila yeye hajachukua hatua yoyote jambo ambalo pengine linaashiria wazi kuwa "yeye pia anahusika na uovu huo" au la,

hivi ilivyotokea sasa lazima tukubali pia amefuata hoja makini za CDM, bila kufanya hivyo angefanya ubaya mkubwa zaidi, all in all, this is a type of a president whom Tanzanians whether knowingly or unknowingly failed to promote!
 
Huu ni ushindi mkubwa kwa CDM kufuatia kukubalika kwa hoja na mantiki za hoja.
CCM ilijua ni upepo kumbe ni kimbunga. JK kuvunja baraza la Mawaziri ni kudhihirisha sasa kuna taa nyekundu inawaka na inakuja kwa kasi.
Aliona kuna walakini hoja ya Zitto ikipita watapata aibu kubwa sana???

JK anamkosi au ninini?????

Hapo kwenye Red "HANA UWEZO" nadhani umenielewa. Hata ukileta kina Barack Obama akawa waziri mkuu, na wapambanaji wengine chini ya huyu mkuu; usitarajie jipya sana. Mtamkumbuka Nyerere aliposema ww ****** bado; hakumaanisha umri.
 
jk hawezi kufanya maamuzi haraka haraka kana kwamba ni rais kupitia cdm, lazima azuge kidogo ili kuonyesha bado yupo na wanaccm ingawa kwa taarifa za kiintellingensia, jk ni cdm damu damu ndiyo maana akitaka kuwatosa ccm au viongozi wake anawalipua kwanza then wanatoswa.

endelea kujifariji nyambafu!
 
yes! Ukiwa makini kutazama mambo yalivyo, jambo lolotea mbalo kikwete angefanya, iwe kutengua au kutotengua baraza la mawaziri faida ingebaki kuwa ya chadema tuu! Hebu tazama mtego huu, angeamua kutotengua baraza la mawaziri, chadema wangeongezewa mtaji wa hoja, kwamba raisi wenu na chama chake pamoja na kuonyeshwa uozo wa baraza hila yeye hajachukua hatua yoyote jambo ambalo pengine linaashiria wazi kuwa "yeye pia anahusika na uovu huo" au la,

hivi ilivyotokea sasa lazima tukubali pia amefuata hoja makini za cdm, bila kufanya hivyo angefanya ubaya mkubwa zaidi, all in all, this is a type of a president whom tanzanians whether knowingly or unknowingly failed to promote!

jidanganye mwenyewe,
 
Back
Top Bottom