Utetezi wa Maige unaniletea maswali mengi kuliko majibu!

Barbaric

Member
Aug 14, 2011
34
9
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la juzi, maige anasema nyumba aliyonunua amenunua kwa mkopo kutika crdb bank, na kwa mliosoma lile gazeti mtakuwa mmeuona mchanganuo wote alivyoeleza, cha ajabu ni kwamba anasema amekopa bank sh 200 millioni, lakini ni maige huyohuyo aliyetoa sh. milioni 500 jimboni kwake mwanzoni mwa mwaka huu, UTAWEZAJE KUWA NA UWEZO WA KUTOA SH. MILL 500 BURE, WAKATI HUOHUO UNASHINDWA SH. 200 MILL. KWA AJILI YA KUNUNUA NYUMBA?

Naomba mnisaidie majibu wana jf.
 
Back
Top Bottom