Serikali ya Mseto ni Lazima TZ Bara!!!!

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
445
345
Wana JF, kwa mawazo yangu nafikiri ili nchi hii iwe salama na kutawalika ni lazima iwe ya mseto, lazima katiba ibadilishwe Rais aruhusiwe kuchagua mawaziri kutoka ktk chama chochote bila hivyo ni lazima damu ije imwagike one day!!!
 
Unataka kuchanganya maji na mafuta? Sidhani kama CCM na CDM watakuelewa kwa huku bara. Inawezekana ZNZ kwa sababu za itikadi na matarajio sawa kati ya CCM na CCM wakala (CUF) kwa sababu lengo lao ni madaraka si uongozi.
 
Wana JF, kwa mawazo yangu nafikiri ili nchi hii iwe salama na kutawalika ni lazima iwe ya mseto, lazima katiba ibadilishwe Rais aruhusiwe kuchagua mawaziri kutoka ktk chama chochote bila hivyo ni lazima damu ije imwagike one day!!!

Hiyo haikubaliki. CCM washa livundisha lazima liwanukie. Eti serikali ya mseto! Wasitake wakulaumiwa naye. CDM itapigana kivyake na wapenda nchi yetu wote lakini si wana magamba hadi kitaeleweka. Au ndiyo walivyo kutuma baada ya jana kukaa kikao cha kujadili mstakabali wao pale Magogoni? kaawambie sikuwakuta CDM.
 
hili litawezekana kama chadema itapewa nafasi katika nyanja tatu, waziri mkuu, waziri wa mambo ya ndani na mambo ya nje,hapo nadhani watakuwa na uwezo wakudhibiti bunge, mambo yanayoendelea ndani ya nchi na kuzuia waizi wa raslimali. Pia waziri wa mambo ya nje atatusaidia kurudisha heshima ya nchi yetu mbele ya mataifa mengine.
 
Oudated, msiplaced and irrelevant opinion. Tunatakiwa kuzuia hilo lisiwepo wala mazingira yake maana ccm wameiharibu hii nchi kiasi kwamba the only next move is them OUT
 
Wana JF, kwa mawazo yangu nafikiri ili nchi hii iwe salama na kutawalika ni lazima iwe ya mseto, lazima katiba ibadilishwe Rais aruhusiwe kuchagua mawaziri kutoka ktk chama chochote bila hivyo ni lazima damu ije imwagike one day!!!
Kwani katiba haimpi rais fursa ya kuteua mawaziri kutoka upinzani? Hila mimi sikubaliani rais kuteua mawaziri kutoka upinzani mara nyingi imekuwa inadhoofisha upinzani kama hakuna mtu mwenye nguvu upinzani na anania ya kugombea urais.Mfano Cuf sasa hivi ukilinganisha na kipindi cha nyuma, hata nchi zilizoendelea kama Liberal Democratics (UK) look like a lame duck now.
 
Back
Top Bottom