General Kiaro anaagwa na mkuu wa mkoa; Kanumba, Rais!

Murrah

Senior Member
May 28, 2011
189
42
Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.
 
Haitokei sehemu nyingine tena zaidi ya tz kwa watu wake kushadadia mambo ya kipuuzi.
 
kila mtu sasa ametambua tunaongozwa na kiongozi wa namna gani,kule hakuna kuuzasura thus y hakuona haja ya kwenda lakini kwenye harusi ya mtoto wa kapuya kaka meza kuu
 
CCM wanajichimbia kaburi wao wenyewe ... pamoja na kwamba kwenda msibani ni discretion ya mtu, lakini kuna watu wengine wakifariki kuna umuhimu wa serikali kutuma ujumbe mzito. Kuna vigogo jeshini wanaangalia tu na hawasemi kitu ...
 
Ndo maana yake!!
Hutaki au???
Tena kwa Kanumba jamaa katoa 10Mil, kwa huyo Kiaro wako je????
tipical silly answers tunaogelea the person who worked for 56 yrs make this country what is now not your self serving Fisadi who are pillaging adn robbing your future :shock:.
 
Aisee mbona kama siamini vile. Kama ndio hivyo huyu kiongozi wetu basi anapenda kujionesha na kushiriki kwenye mambo ya watu maarufu. Kiufupi hapa sina rais, anashindwa hata kuwahonor watu waliojitolea na kuitumikia nchi yao kwa mioyo yao yote!
 
Mashabiki wa Clouds wakiwasikia utawasikia mbona msiba wa Whitney ulikuwa mkubwa sana!
Hilo jibu nmepewa na mtu mzima mwenye ndevu zake nkasema lahaula ukisikia taifa la vilaza tz ndo utaliona.
 
Kama imekuwa hivyo kwakweli hao wanaoitwa washauri inaonekana wapo kisanii kuliko hata msanii mwenyewe... Kaazi kweli kweli..
 
Du jamani kweli nchi inapoenda si kuzuri jemedali kama huyu anazikwa kiutani utani, naona wanajeshi peke yao sio kitu kizurihebu tujue kulipa fadhila, tunawavunja nguvu wapambanaji.
 
Hiyo ndiyo bongolalaland ambapo mambo ya maana hugeuzwa ya hovyo na ya hovyo ya maana. Ililieni nchi yetu. Angalia tunavyodhalilika kulhali siku hizi. Tunazidiwa na viinchi kama Burundi hata Rwanda.
 
HuU ni use..ge kabisa. damn over 50yrs , Hili liuongozi linanitapisha kabisa. This was a real hero na wala sio mbakaji kama tunavyoaminishwa. JK, ******, rais wa TZ, whats up?
 
Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.

Inakupa uhalisia wa watawala wetu! Kuuza sura na kushindana na wasanii kujionesha caring and concerned kwenye mambo wanayoamini yanawapa umaarufu zaidi!

Wengi wanaamini kwenda kwenye shughuli kama misiba ya MASTAA inawafanya waonekane wako karibu zaidi na wananchi wao!

Watawala wetu hawana tofauti na wale jamaa zetu waliokuwa wakishindana kuzimia msiba wa juzi hapa mjini! Usanii mtupu
 
inasikitisha sana..mashujaa kama hawa wanadharauliwa! Lakini ipo siku tu..hawa magamba watakuja kujua umuhimu wa jeshi!
 
Back
Top Bottom