na Tamali Vullu
BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limesema kuwa mabadiliko ya baraza la mawaziri yanayotarajiwa kufanyika wakati wowote si suluhu ya kupunguza...
Kwa yeyote mwenye habari kuhusu nini kinaendelea juu ya chadema kukata rufaa katika kesi iliyomuengua ubunge Godbless Jonathan Lema naomba anihabarishe, Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la tarehe...
Imekuwa ni kawaida kwa jeshi letu la Polisi kila mara linapotoa tahadhari kwa wananchi kutokana na interejensia yao waliyoifanya kwa kina uhusishwa na kudai haki kwa njia ya maandamano.Lakini...
Huu upepo unaovuma sasa (uliokaribia kung'oa paa - by Sugu) unafanya wengi tumsahau huju waziri. Baada ya mabomu ya Mbagala alisikika akisema ikitokea tena atajiuzulu; ikatokea Gomz. Sasa pamoja...
One of the most common features of JKs tenure as TZ president is nepotism practice when it comes to picking public service leaders .We have seen JK practicing nepotism in almost all high...
Chama cha Waalimu Tanzania kiliundwa kwa malengo mazuri ya kutetea haki za waalimu ila kwa sasa CWT kimejikita zaidi kukusanya michango kutoka kwa waalimu na kuzitumia kulipana posho...
Kitendo cha Katibu Mkuu wa wa TUCTA Nicolaus Mgaya kutambulisha wageni bila kumtambua Mbunge wa Mbeya mjini Mheshimiwa Sugu inaleta sura mbaya. Hata mkuu wa mkoa naye kashindwa kutambua uwepo wake...
Wakazi wa jimbo la kinondoni hatujapata mbunge makini toka mfumo wa vyama vingi uanzishe tulikua na Peter Kabisa, na sasa IDD AZAN wote hawaonesha kujali na kutatua matatizo ya wananchi kikamirifu...
( Madai haya yamefikishwa na mtumishi wa umma kwenye http://mjengwablog.com)
Ndugu Mwenyekiti wa jukwaa hili,
Mimi naitwa Toto M. Kassi, Afisa Misitu Wilaya ya Same.
Tarehe...
Barabara, ofisi vyafungwa kwa muda
na Grace Macha, Arusha
UMATI mkubwa wa watu jana ulijitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Japo si mwanasheria lakini najua adhabu ya kutoa rushwa ni kifungo na viboko siku ya kuingia jela na siku ya kutoka, ili mkosaji akamwonyeshe mkewe (au mumewe - akina mama oyee!) Sasa kuna mbunge...
BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limesema kuwa mabadiliko ya baraza la mawaziri yanayotarajiwa kufanyika wakati wowote si suluhu ya kupunguza au kumaliza ubadhirifu...
Kwako Mheshimiwa Mkuu wa Kaya,
wakati unatafakari jinsi ya kufanya Book review hasa zile chapter zilizolalamikiwa na wasomaji wako, niruhusu na mimi nitoe wangu mchango. Tafadhali niruhusu kama...
Baada ya kutupiana vijembe mwaka juzi, hatimaye Mgaya na JK sasa wamekuwa maswahiba kama picha hii inavyothibitisha. nani mshindi? Wafanyakazi (Mgaya) ama serikali (JK)???
Imeonekana serikali za mitaa nyingi zina matatizo makubwa kwenye masuala ya ufujaji wa pesa. Pesa nyingi sana zinaibiwa kwenye halmashauri hizo.
Katika uchaguzi wa mwaka 2010 upinzani ulifanikiwa...
Kesi ya Mahalu:Mkapa Kortini Mei 8
Send to a friend
Monday, 30 April 2012 20:41
0diggsdigg
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa
WAKILI MARANDO ASEMA NI SHAHIDI...
Naona mawaziri bado wanakula bata tu mei mosi tanga je hz tetesi za baraza jipya zilitoka wapi? Ulikw upepo 2 unapit kama alivosema Vasco na mei mosi ikiisha anakwnda South Africa kumpongeza Zuma...
Wanajf nimejaribu kuperusi baadhi ya thread ambazo zilileta mijadala mikali enzi hizo kuhusu CDM nimegundua Chama kimepitia changamoto kadhaa na huu ni moja ya uzi ulizua mjadala mkali sana hapa...
Wizara ya Maliasili na Utalii ingeweza kuleta ufanisi mkubwa sana unaoweza kuwainua Raia wa Tanzania na kuleta unafuu wa maisha kwa watu wanaoishi pembezoni mwa maeneo ya hifadhi za wanyamapori na...