Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwelekeo wa uchumi wa dunia sasa hivi ni kwa uchumi binafsi wa Nchi kujilinda katokana na ushindani wa nje. Katika matukio ambayo yanatikisa uwekezaji has a katika Nchi za Latin America, hususan...
13 Reactions
49 Replies
5K Views
Tanzania's Human rights activist barred from Meeting in Canada Tanzania's Human rights Activist and mineral resource advocate Amani Mustapha Mhinda was yesterday amongst global human rights...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi wajamen kuna vijiwizara vya ajabu ajabu ambavyo kila siku sifahamu kazi zake na pia hizo kazi zake hazionekani kwa manufaa ya Taifa ati,Uwezeshwaji,Utawala bora,Utumishi na vinginevyo yaani...
0 Reactions
1 Replies
961 Views
Mabalozi sita wa chama cha mapinduzi ktk mtaa wa sekei moram kata ya moshono wamevua gamba na kujiunga na chadema.CHADEMA MOSHONO TUNA MAOMBI YA WENGINE WATANO AMBAO BADO TUNAWACHUNGUZA.MTAA WA...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Tanzania Daima 05/05/2012 Operesheni vua gamba, vaa gwanda kuzinduliwa leo na Grace Macha, Arusha CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha leo kitazindua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tumeona Mustafa Mkullo, Ngelleja, Ezekiel Maige, Haji Mponda, Chami, Omar Nundu wakimwagwa kwenye baraza jipya. Je ni wakuu gani wa taasisi wanaofuata? 1. Ekelege - TBS
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Tuliokuwepo wakati ule MwanajF Prince William aliandika, Prince William: I have carefully read the last words written by Dr.Ballali before he died in US last year ...... Rais Mkapa akaniita pale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dalili ya mvua ni mawingu, hata isiponyesha leo kuna mategemea kuwa mvua yaja. Rais Kikwete kuteua wabunge wapya kipindi hiki kabla hajasuka baraza la mawaziri, mmoja akiwa kutoka chama cha...
3 Reactions
71 Replies
5K Views
"RAISI Kaagiza PCCB Kuchunguza na kuwachukulia hatua wanaohusika na ubadhilifu" Nilicheka sababu kuu mmoja PCCB huwa hawana uwezo wa kushugulikia rushwa kubwa mpaka raisi awaagize. Tena hufanya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
NAZIR KARAMAGI USO KWA USO NA DR MWAKYEMBE: RIPOTI YA KIUCHUNGUZI YA KAMATI TEULE YA DR HARRISON GEORGE MWAKYEMBE NDIO ILIYOPELEKEA KUVUNJIKA KWA BARAZA LA MAWAZIRI NA KUJIUZULU KWA...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Kauli ya jk kuwa mawazili alowatimua wanawajibika kwa makosa yasio yao, bali ya watendaji walio chini yao inaudhi. Zaidi ya kuudhi inatia wasiwasi kama jk anaelewa wajibu wa mawaziri wake...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
... hivi jamani waziri asiye na wizara maalumu anabanwa vipi na bunge! atakuwa akisimamia maswala gani,. mie hichi cheo naona ni cha kifisadi tu!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi ni kweli taifa hili litapiga hatua ya mbele zaidi katika swala zima la maenfeleo kwani tunazidiwa na vitaifa vidogo mfano mmojawapo ni RWANDA.Taifa limepoteza zaidi ya nguvu kazi isiyopungua...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Jana wakati anatangaza baraza jipya Rais kikwete alinihuzunisha sana! Katika kuonyesha hakuna kitakachofuata kwa wapendwa wezi alisema hv; Mnawajibishwa kisiasa hata kama hamjatenda nyie ! Sasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ushahidi hadi wa Rais. Kuwa Mawaziri walioachwa ni 'wachafu'. Wasiachwe. Wasafishwe au kuchafuliwa rasmi na Mahakama. Wahusika ni hawa: Mustapha Mkulo, Ezekiel Maige, William Ngeleja, Omari Nundu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Makala Rai ya Jenerali Tume ya Warioba isije ikawa kama Tume ya Warioba Jenerali Ulimwengu Toleo la 237 2 May 2012 KATIKA makala ya wiki jana, pamoja na mambo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimeendelea kuwa tishio kwa ccm baada ya Rais kikwete kuogopa kuteua mbunge kutoka ndani ya chama hicho. Je kwa kuogopa huko ni dalili ya chama hicho...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Leo kutakuwa na mkutano wa hadhara ktk uwanja wa KICHANGANI Morogoro mjini kuanzia saa sita MAKAMANDA wote msikose.Leo kutakuwepo uzinduzi wa operesheni VUA GAMBA VAA GWANDA.Tusikose
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa maoni yangu, kuteuliwa kwa mwenyekiti wa NCCR taifa bwana Mbatia kuwa mbunge ni mkakati maalum wa kuvunja ushirikiano unaonekana kuwemo ndani ya bunge kwani, kwa sasa wabunge wengi wa NCCR...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nakosa maneno ya kuongea juu ya uchungu ninaousikia kwa Ndugu Rais kumrudisha tena G. MKUCHIKA. Nimesikitika mno na masikitiko haya si yangu peke yangu, ni masikitiko kwa wakulima wote wa korosho...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…