Baada ya Kumwagwa mawaziri 6, Je ni Wakuu Gani wa Mashirika wanafuata?

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,369
17,935
Tumeona Mustafa Mkullo, Ngelleja, Ezekiel Maige, Haji Mponda, Chami, Omar Nundu wakimwagwa kwenye baraza jipya. Je ni wakuu gani wa taasisi wanaofuata?
1. Ekelege - TBS
 
3. Omar Chambo - PS Uchukuzi
4. Mkurugenzi - TPA
5. Mkurugenzi - ATC
6. Principal - Chuo cha Bahari Dar es Salaam
7. Mkurugenzi - MSD
8. Principal - Chuo cha Elimu Chang'ombe
9. Principal - Mkwawa University
10. VC - UDOM
11. etc
 
DG wa Bandari kwa kusababisha Nundu na Mfutakamba kutemwa na TBS kwa ajili ya Dr. Chami. JK alisema watendaji wa mashirika na taasisi waliosababisha mawaziri wang'oke na wao wataondolewa.
 
sasa hivi sisi wote tuliotuhumiwa wanatutegemea sana kwenye bajeti ijayo. Hivyo kutumwaga fasta fasta hawezi. Lakini shida yenu si mlitaka awaondoe mawaziri sita tu? Acheni roho mbaya!
 
12.Mkurugenzi wa CHC pamoja na Bodi ya wakurugenzi. Hawa wameshikiana na Musta Mkullo kuuza kiwanja.

12. Dr Mwele Malecela wa NIMR, huyu ndiye alikuwa anashirikiana na Blandina Nyoni kwenye kutumia vibaya fedha za Wizara ya Afya zilizokuwa zinapelekwa pale.

13.Mkurugezi wa Bohari Kuu ya Madawa, huyu ni mzembe ambaye amesababisha dawa za mabillioni ziharibike wakati zahanati vijijini hazina dawa

14. Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya kwa kuwa yeye ndiye alikuwa anatekeleza maagizo ya Blandina Nyoni kuhamisha fedha bila kufuata taratibu za fedha na sheria ya manunuzi.
 
PS Fedha manake naona waziri na manaibu wake wammeondolewa ama kwa kutoswa au kubadilishwa.
 
sasa hivi sisi wote tuliotuhumiwa wanatutegemea sana kwenye bajeti ijayo. Hivyo kutumwaga fasta fasta hawezi. Lakini shida yenu si mlitaka awaondoe mawaziri sita tu? Acheni roho mbaya!

Kwani kuna nini kigumu kwenye bajeti ambacho watakaowpokea hawataweza kukifanya? Nendeni salama na tuthakikisha mnafuatiliwa ili tuwanyang'anye mali zetu mlizotuibia.
 
PS Maliasili maana walishirikiana na Maige kupakia Twiga zaidi ya mia pale KIA
 
Wakurugenzi wa
1: TBS
2: Halmashauri ya kishampo
3: ATC
4: CHC
5: TAA... jengo la VIP eti limejengwa kwa Tshs 11 billion,
ni wizi wa hali ya juu, hata 2 billion haziishi, eneo
ni la serikali... how..?
6: BOT... wengi hapa wapigwe chini
7: Wanyama pori.... uwizi mkubwa hapa
8: MSD...ooohh haraka funga
9: Madini...
10: TPA....
11. Blandina Nyoni... peleka mahakamani huyu
 
3. Omar Chambo - PS Uchukuzi
4. Mkurugenzi - TPA
5. Mkurugenzi - ATC
6. Principal - Chuo cha Bahari Dar es Salaam
7. Mkurugenzi - MSD
8. Principal - Chuo cha Elimu Chang'ombe
9. Principal - Mkwawa University
10. VC - UDOM
11. etc

Yutong, tutajie kwa majina yao halisi na siyo kutuambia VC, au PS MD! Tunataka tuwajue kwa majina kama tunavyomjua Ekelege wa TBS au Mgawe wa TPA. Hii itasaidia hata wananchi wengine mtaani kutupa data zao
 
PS wa Hazina ambaye kajitahidi kumsafisha mkuu wake kwa kuamuru kuuzwa kiwanja kwa METL, huku akishindwa hata kutoa neno kujisafisha mwenyewe na mkuu wake na milioni 964 walizomlipa Murrad Saddiq (SSSS) bila msingi wowote, wakiwahi uchaguzi wa 2010
 
JF ni zaidi ya unavyoifahamu, hata kama JK hapitii lakini vyombo vyake vinasoma na tunaona baadhi ya ushauri ambao unaanzia hapa.

Ushauri kwa TISS na kwa Chief Secretary, nendeni kwenye hizo taasisi kawasimamisheni kazi hao watu kwani kadri munavyo subiri amri ya JK ndivyo ambavyo wana haribu ushahidi kwa kuficha au kuharibu ushahidi utakao saidia kuwa incriminate kwenye mahakama.
 
Kuna yule mkurugenzi wa TANAPA,anaitwa somebody Kijazi,atueleze na hao twiga alikua anawapakia vipi kwenye ndege
 
Mimi nalia na Mgawe wa TPA, ameundiwa tume kama 3 kumchunguza lakini kila taarifa ya tume haifanyiwi kazi imatupwa tu na yeye anapeta. Baada ya hapo akihisi kuna wafanyakazi wa chini walishiriki kutoa taarifa ya ufizadi kwenye tume basi ana deal na wewe mpaka unatoka TPA.
 
Tumeona Mustafa Mkullo, Ngelleja, Ezekiel Maige, Haji Mponda, Chami, Omar Nundu wakimwagwa kwenye baraza jipya. Je ni wakuu gani wa taasisi wanaofuata?
1. Ekelege - TBS

14.William Erio wa PPF
 
12.Mkurugenzi wa CHC pamoja na Bodi ya wakurugenzi. Hawa wameshikiana na Musta Mkullo kuuza kiwanja.

12. Dr Mwele Malecela wa NIMR, huyu ndiye alikuwa anashirikiana na Blandina Nyoni kwenye kutumia vibaya fedha za Wizara ya Afya zilizokuwa zinapelekwa pale.

13.Mkurugezi wa Bohari Kuu ya Madawa, huyu ni mzembe ambaye amesababisha dawa za mabillioni ziharibike wakati zahanati vijijini hazina dawa

14. Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya kwa kuwa yeye ndiye alikuwa anatekeleza maagizo ya Blandina Nyoni kuhamisha fedha bila kufuata taratibu za fedha na sheria ya manunuzi.

Hao niliyowawekea red hapo wanatakiwa kushughulikiwa kama special case maana hawa ni watu waliosababisha matatizo mengi sana kwa jamii. Hii wizara ya afya na taasisi zake imekua na magumashi mengi sana yaliyoleta hasara kutokana na uzembe wa wachache hawa.
 
Akiwatema sawa,ila asiseme kua wao ndo wame7bisha mawazir kung'oka,inawezekana mawazir ndo walowatuma hao watendaj
DG wa Bandari kwa kusababisha Nundu na Mfutakamba kutemwa na TBS kwa ajili ya Dr. Chami. JK alisema watendaji wa mashirika na taasisi waliosababisha mawaziri wang'oke na wao wataondolewa.
 
Back
Top Bottom