Mawaziri walioachwa,wasiachwe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri walioachwa,wasiachwe...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, May 5, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ushahidi hadi wa Rais. Kuwa Mawaziri walioachwa ni 'wachafu'. Wasiachwe. Wasafishwe au kuchafuliwa rasmi na Mahakama. Wahusika ni hawa: Mustapha Mkulo, Ezekiel Maige, William Ngeleja, Omari Nundu, Haji Mponda, Cyril Chami, Athuman Mfutakamba na Lucy Nkya. Wasiachwe.,
   
Loading...