TUNDU LISU na HALIMA MDEE LEO MOROGORO

Tunawatakia kila lakheri makamanda wa ukombozi.peoplessssssssss .......................
 
Location ya tukio si nzuri sana sina hakika wengi watahudhuria.Ingekuwa sabasaba ingekuwa fulu wagwanda.
 
Naam haya ndio mambo sasa! awali nilidhani makamanda wote watakua arusha leo...kumbe wengine mnatoa uamsho mji kasoro bahari

Mungu ibariki chadema!
 
Kule Arusha pia Operation kama hiyo inafanyika leo.

Kwanza unajua tulianza na operation sangara, baada ya vua gamba vaa gwanda, bado tuna operations nyingine zinatukabili:

Operation Chakaza, Operation Chui, Operation Simba, Operation Mageuzi, Operation Sauti ya Umma, Operation Ng'oa, Operation Umiza, Operation Nguvu ya Umma, na nyingine nyingi tu. Kwa ujumla Operations hizi zitafanyika maeneo maalum, kulingana na majina yaliyopewa na ni katika mikoa mbalimbali hapa nchini.

Bado tunatafakari pia aina ya "Operation" itakayotumika Arumeru Mashariki dhidi ya vitisho vya kuwaua viongozi wote wa CDM (Source: Gazeti la Mwananchi la leo tarehe 5.5.2012)ikiwa ni pamoja na mbunge wa jimbo hilo, Mhe.Joshua Nassari...

Kwanini hawa wenzetu wasiwe na uvumilivu...CCM WOTE someni hii "the greatest test of courage on earth is to bear defeat without loosing heart" Robert G Ingersoll" Sasa kama mmeishindwa hii si mkae kimya na kujipanga upya badala ya kuwatumia viongozi wenu meseji za vitisho..Nasema viongozi wenu kwa kuwa hawakiwakilishi chama chao bali maendeleo ya jimbo lote bila kujali nani na anatoka chama gani.
 
Ni kweli location inaweza isiwe nzuri, lakini na hao wachache wanahitaji ukombozi....total emancipation from claws of the ruling party, CCM
 
Nakumbushia tu: MHE Meshark Opulukwa, Mbunge wa Chadema katika jimbo la Meatu, ameshinda kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM katika jimbo hilo, NDG Salum Khamis. Jaji alyekuwa akisimamia kesi hiyo alikuwa MHE Fredrick Wambali.
 
Leo kutakuwa na mkutano wa hadhara ktk uwanja wa KICHANGANI Morogoro mjini kuanzia saa sita MAKAMANDA wote msikose.Leo kutakuwepo uzinduzi wa operesheni VUA GAMBA VAA GWANDA.Tusikose

kamanda wa ukweli Seleman Msindi atakuwepo wadau? Msisahau kutupa hotuba yake.
 
Back
Top Bottom