KUDIDIMIA KWA CCM ARUSHA: Mabalozi 6 wajivua gamba Moshono!

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Mabalozi sita wa chama cha mapinduzi ktk mtaa wa sekei moram kata ya moshono wamevua gamba na kujiunga na chadema.CHADEMA MOSHONO TUNA MAOMBI YA WENGINE WATANO AMBAO BADO TUNAWACHUNGUZA.MTAA WA SEKEI MORAM NI KAMA HAKINA UONGOZI BAADA YA MWEKITI KUTOITISHA MKUTANO KWA MWAKA NA NUSU KWA HOFU YA ANAOWAITA CHADEMA kutokana na ubadhirifu aloufanya.Wateule hawa wanataka kadi na bendera,so we stil 2nawasiliana na uongozi wa wilaya.
 
Hivi bado kuna watu Arusha wako CCM? CHADEMA watoe mwongozo sasa ili kumaliza hii mashauri kwa mkoa wa Arusha kwamba ifikapo mwisho wa mwezi huu wa April milango inafungwa, anayetaka kuingia ndani na afanye hivyo sasa bila kuchelewa. Kuanzia tarehe 1 May CHADEMA wapeleke mashambuliz sehemu zingine.
 
Ungeweka na majina yao ungeaminika na wengi.

Umeileta taarifa kama umesikia kwenye daladala ukiwa umechoka unarudi nyumbani
 
nibaada ya zaidi ya viongozi wa tano wa ccm kuamia chadema,akiwemo diwani mawazo wakata ya sombetini ambae kwa sasa yupo kima silai yake binafsi na sikwajili ya wananch kwa sasa,kwani nitabia yao yake ya kuama vyama sasa yupo CHADEMA,ukonako kafuata upopo wa siasai
 
Katika mazungumzo na wadau mbalimbali katika siasa za nchi yetu,mara nyingi nimekuwa nawaambian watu kuwa mwaka wa CCM kuja kushindwa katika uchaguzi na kunyang'anywa dola, basi wakati huo ukifika basi kila mtu atakuja kujua kuwa kwa namna ye yote ile CCM inang'oka.Hii ni ishara kwamba mwisho wa CCM kuwa madarakani umefika.
Naomba kutoa hoja.
 
nibaada ya zaidi ya viongozi wa tano wa ccm kuamia chadema,akiwemo diwani mawazo wakata ya sombetini ambae kwa sasa yupo kima silai yake binafsi na sikwajili ya wananch kwa sasa,kwani nitabia yao yake ya kuama vyama sasa yupo CHADEMA,ukonako kafuata upopo wa siasai

Tulia uandike vizuri, kwani unakimbizwa?ona sasa hujaeleweka
 
hakuna uhusiano wowote kati ya kicha cha habari yako na ulichokiandika ndani kama habari
 
Katibu wa CCM Mkoa Arusha Mary Chatanda yuko wapi? Walio Arusha mwiteni atoe utetezi wake kulikoni.
 
nibaada ya zaidi ya viongozi wa tano wa ccm kuamia chadema,akiwemo diwani mawazo wakata ya sombetini ambae kwa sasa yupo kima silai yake binafsi na sikwajili ya wananch kwa sasa,kwani nitabia yao yake ya kuama vyama sasa yupo CHADEMA,ukonako kafuata upopo wa siasai

unaharisha? Acha kudalilisha id. Hakuna profesa mpumbavu namna hiyo.
 
nibaada ya zaidi ya viongozi wa tano wa ccm kuamia chadema,akiwemo diwani mawazo wakata ya sombetini ambae kwa sasa yupo kima silai yake binafsi na sikwajili ya wananch kwa sasa,kwani nitabia yao yake ya kuama vyama sasa yupo CHADEMA,ukonako kafuata upopo wa siasai
.
Mbona hueleweki?
.
 
Back
Top Bottom