Mbatia mwiba wa mshikamano bungeni kati ya CHADEMA na NCCR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbatia mwiba wa mshikamano bungeni kati ya CHADEMA na NCCR

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tenths, May 5, 2012.

 1. T

  Tenths Senior Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kwa maoni yangu, kuteuliwa kwa mwenyekiti wa NCCR taifa bwana Mbatia kuwa mbunge ni mkakati maalum wa kuvunja ushirikiano unaonekana kuwemo ndani ya bunge kwani, kwa sasa wabunge wengi wa NCCR wana mshikamano wa dhati katika kuunga mkono hoja za kambi rasmi ya upinzani bungeni inayoundwa na CDM. Kwa kuwemo bwana Mbatia bungeni mshikamano huo utapungua sana, kwani kama inavyoeleweka mwenyekiti huyo ana mapenzi ya dhati na serikali iliyopo madarakani hivyo, kuwepo kwake kunaweza kufanya wabunge wake kufuata misimamo yake kwa nia ya kumheshimu mwenyekiti wao na kuvunja mshikamano huo uliojengeka bungeni kati ya wabunge wa vyama hivyo. Huo ni mtazamo tu.
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  kwani chama cha mbatia kina wabunge wangapi bungeni?
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  wawili ukichanganya na yeye wanakuwa wa 3
   
 4. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,954
  Likes Received: 1,770
  Trophy Points: 280
  kwa mosses machali atachemsha kama unayosema kuhusu mbatia ni sahihi..machali ana misimamo yake thabiti na anasimamia anachokiamini..alishasema bora aache ubunge abaki kuwa mwanaharakati..
   
 5. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  mbatia ni gamba
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Inawezekana Mbatia akajaribu kufanya hivyo lakini akae akijua kama atavuruga upinzani bungeni basi itakuwa at his own risk! Sasa hivi kuna bunge la Makinda ana CCM na kuna bunge la wananchi. Uchaguzi ni wake juu ya bunge analotaka kutumikia.
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  kafulila kutoka nje na wabunge wa chadema kupinga mswaada ndo kimempeleka kuvunja uhusiano wa nccr na chadema sababu wakiungana ccm kanda ya ziwa haitakuwa na chake. zengwe walilo muundia kafulila waliona litafeli so wakaona Bora waweke dog pale kati mtu asipumue. wenyeviti wote wa vyama vya siasa walio gombea ubunge na urais 2010 walishinda isipokuwa Mbatia. So wakaona achaguliwe ili kufunika kombe.
   
 8. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hata mvuto sasa hivi kama mwenzake JK
   
 9. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Umeona mbali!!!!!
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kikwete ameonyesha rangi halisi ya Mbatia. Huyu jamaa siyo mpinzani, sijui ilikuwaje mpaka akapewa uenyekiti NCCR.
  Kafulila was right.
   
 11. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Hakuna jipya zaidi ya kulipa fadhila, Kisiasa Mbatia ndiyo amekwisha.
   
 12. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ngoja tuone. Labda amekua sasa.
   
 13. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mie nadhani ameteuliwa kwa nia ya dhati na Jk kuhusu mchakato wa uundwaji wa katiba. Maana kwa sasa kutakua na wenyeviti 4 wa vya upinzani ktk bunge la katiba hapo baadae.
   
 14. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Nikufahamishe tu kwamba Mbatia ameonyesha udhaifu mkubwa na ni njaa tu inampeleka kule kama Mrema. hawezi kuleta effect yoyote na amejishushia heshima vibaya sana. Mrema anamfagilia Kikwete manake alimpeleka india. Mbatia maisha yamekuwa magumu sana kwake manake income wala wafadhili hawana na madeni yamemzidi.

  Moto wa Chadema ni wa gesi na hausimwi kwa maji.
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwa vyovyote vile yeye ata behave kama mbunge wa CCM tu!!!!
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kawa Mbatia tusitegemee kitu tena hapo kama tuna mpinzani, kuhusu Machari ni mtu mwenye msimamo lakini i dout him bkoz Machari na Mbatia ndio watu waliokuwa wamelishikia bango swala la kumvua uanachama kafulila ijapokuwa kafulila was ryt 4 his opinion, but al in ol ngoja tusibiri tuene impacy za bungen then leta tutakuja ku -conclude vizur kuhusu hili swala.
  ILA MBATIA TUSHAMPOTEZA HAPO JAMANI HATUNA TENA MPINZANI ANAYEITWA MBATIA.
   
 17. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna msemo wa kiswahili usemao "Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo"
  Wakati wa kuchagua wabunge wa kuteuliwa JK akaona ateue wa kusindikiza waheshimiwa wake.

  Mbatia kabaki nje waheshimiwa wameingia ndani (Kwa lugha ya kimpira Mbatia ni mbeba jezi si mchezaji)

   
 18. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mwenyekiti wa CUF ni nani.....................? nae yupo kwenye listi?

   
 19. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,316
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280
  Binafsi nina mawzo tofauti na wenzangu, kuteuliwa kwa James Mbatia na Jk kumeonesha ukweli wa yaliosemwa na Bi Halima Mdee kwenye kampeni za Ubunge pale Kawe na pia yaliosemwa na Kafulila, JK kilipa fadhila kwake (may be the mission is already finished), nini kitakacho tokea kwake na chama chake? Wapiga kura watapunguza imani kwa chama hiki kama walivyo punguza imani kwa TLP na kile cha bwana mapesa (sijui ni DP au DPP, sina hakika) na sasa imani hiyo inazidi kuporomoka kwa CUF kwasababu hizo hizo za uswahiba na magamba, kwa jinsi hii CDM inatakiwa ielekeze nguvu nyingi kwenye maeneo yenye uelewa mkubwa wa mabariko ili kura zisigawanyike, kumbuka wafuasi wa mageuzi huweza kupigia chama chochote cha upinzani but wa magamba, hasa wazee hawawezi kupigia upinzani.
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mi naona mbatia ndo anajichimbia kaburi la milele
   
Loading...