Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makala Barazani kwa Ahmed Rajab Zanzibar ingekuwa nyingine wangepatanishwa Abeid Karume na Ali Muhsin Ahmed Rajab Toleo la 240 23 May 2012 HALI za maisha Zanzibar ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kazi kwenu, karibuni hasa kwa wale wa ughaibuni ambao mlikosa huu uhondo Charles Makongoro Nyerere CHARLES MAKONGORO NYERERE (BUNGENI) - YouTube Le Mutus aka William John Malecela William...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rai ya Jenerali Jenerali Ulimwengu Toleo la 240 23 May 2012 HUKO nyuma nimeeleza kwamba haiwezekani kuijadili Tanzania pasipo kuujadili Muungano, na kwamba dalili za makundi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kilichotokea kule ARUSHA na SUMBAWANGA kilikuwa kama ni maigizo tu lengo lilikuwa kumkamata na kumtia adabu LEMA so wakajifanya nao wapoteze jimbo la sumbawanga.Ninaimani LEMA ndiye aliyekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuwasilisha kwenu hoja yangu ya kuomba tuanzishe thread maalumu ya kujadili na kuchambua Katiba yetu wakati tukianza mchakato wa kuwa na Katiba Mpya. Nadhani itakuwa vyema kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Rais wa Jamhuri ya mungano wa Tanzania kwa mara nyingine tena wananchi wa Tanzania tumeshudia kumuapisha kwako prosesa Mark Mwandosya kuwa waziri mwengine asiyekuwa na wizara maalum, ijapokuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF: Hii habari nimeipata kutoka ndani kabisa kutoka CDM, kwamba wqakati wowote kuanzia sasa chama hicho kitatoa ushahidi mpya usiopingika wa kuon yesha kwamba Nape alikubali kujiunga na CCJ...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni kweli kuwa TANU na CCM zimesaidia sana kutupatia mafanikio ambayo tunayo kama yapo; Ni kweli kwamba uongozi wa Mwl Nyerere umetusaidia sana TZ kujenga nchi na huruka ya wananchi wake. Hongera...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Written by Nahisi kichefuchefu nikikumbuka muungano // 23/05/2012 // Habari, Vidio // No comments BONYEZA VIDIO www.mzalendo.net
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Na Abdallah Vuai, Zanzibar| May 23, 2012 | Zanzibar Yetu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara, Pius Msekwa akihojiwa na Shirika la Utangazaji la Ujerumani wiki iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
na Tamali Vullu | Tanzania Daima WAZIRI mpya wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, amezungumza kwa mara ya kwanza na kuonya kutokuwa na huruma na mtu yeyote au chama chochote cha siasa...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Star tv habari JK akiuza ardhi wananchi wazipiga hadi watu wawili kufa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Wanabodi ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hisia tofauti itaanza masaa machache hajayo tuone Kama chaguo la wapiga kura wa ubungo litapigwa chini au mahakama itawaunga mkono. Twende kazi
4 Reactions
86 Replies
7K Views
Ni Habari katika gazeti la Mwananchi leo Mawaziri wote waitwa Dodoma Ramadhan Semtawa SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza Baraza jipya la Mawaziri, mawaziri wote wameitwa mjini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Zitto & co kwa nini wakienda nje ya nchi hawavai zile nguo za kwenda kuwindia nguchilo? Nilitegemea Zitto safarini USA angevaa yale magwana ya mgambo lakini wapi au wanaona aibu kuyavaa nje ya nchi?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu wana JF haya ni mawazo yangu: Yafuatayo yakifanywa na chadema tutashika dola mwaka 2015 - Kuwa karibu na wastaafu wote wa kipindi cha mwl nyerere ili watupe muongozo wa dola -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwako Mheshimiwa Mwenyekiti, Natumaini unaendelea vizuri na ujenzi wa Chama na Taifa kwa ujumla. Napenda kutumia nafasi hii kukutaarifu kuwa Tar 27 MAY 2012 tutakuwa na mkutano...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Ndugu wana JF Tujiulize kwa nini CCM ambao ni watawala wa leo wamekubali mgombea binafsi leo hii ili hali walikuwa wakipiga vita kwa nguvu zote Je hii ni Dalili ya kuona kwamba mwaka 2015...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Habari wanajamvi. Zikiwa zimebaki saa 48 ili mahakama ya kazi ambayo ndo inaendesha kesi ya kupinga matokeo ya mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John J. Mnyika dhidi ya walalamikaji wake kutoka CCM...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani wanaJF mbunge Nkamia hivi karibuni aliwachukua waandishi wa habari wa Kike kutoka Arusha(PAMELA MOLLEL NA ASHURA MOHAMED) kufanya ziara jimboni mwake,lakini mambo haya kuwa hivyo kwani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…