Kwanini CCM wameafiki mgombea binafsi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CCM wameafiki mgombea binafsi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, May 24, 2012.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF Tujiulize kwa nini CCM ambao ni watawala wa leo wamekubali mgombea binafsi leo hii ili hali walikuwa wakipiga vita kwa nguvu zote Je hii ni Dalili ya kuona kwamba mwaka 2015 wapunguze nguvu za wapinzani inabdi walikubali suala la mgombea binafsi. Kwa maono yangu naona kama wameshakubali matokeo na dalili zote zinajionyesha kuwa wananchi kwa sasa wamechoka na ahadi hewa.
  Mwisho kabisa kwa nini wanataka wakapinge matokeo mahakamani hili nalo ni la kuangalia sana. Lakini sisi kama watz wa leo tumeshaona nini kinakuja kwa hiyo tuwe makini na kama akishinda mpinzani watapinga matokeo mahakamani, Lakini wakumbuke Moi aliondoka kwa mtazamo huo huo kuwa baada ya upinzani kuchukua nchi nchini kenya vyombo vyote vya dola vikahamia kwa mwai kibaki. Kwa hiyo huu ni mtazamo wangu mnalionaje hili.
   
Loading...