CDM Walipoteza ARUSHA na CCM SUMBAWANGA Mjini.TAFSIRI YAKE

May 1, 2012
95
96
Kilichotokea kule ARUSHA na SUMBAWANGA kilikuwa kama ni maigizo tu lengo lilikuwa kumkamata na kumtia adabu LEMA so wakajifanya nao wapoteze jimbo la sumbawanga.Ninaimani LEMA ndiye aliyekuwa anatafutwa ila akatafutiwa kafara la kuondoka naye si ajabu hakuna matokeo mengine yatatenguliwa.
 
Usitudanganye hapa. Majaji ndio waseme yaliyo moyoni mwao. Hakuna mtu anayeweza kumlazimisha Jaji kutoa hukumu asiyeikubali. Yeye yeye anajua alichokifanya.
 
Back
Top Bottom