Mbunge Nkamia Anapepo?

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Jamani wanaJF mbunge Nkamia hivi karibuni aliwachukua waandishi wa habari wa Kike kutoka Arusha(PAMELA MOLLEL NA ASHURA MOHAMED) kufanya ziara jimboni mwake,lakini mambo haya kuwa hivyo kwani wadaku wamegundua kuwa mheshimiwa huyo aliwapangishia hotel mjini Kondoa kwa wiki mbili akifaidi mema ya nchi,na kibaya zaidi waandishi hao wamekuwa wakiwatambia wenzao kutokana na kitita cha fedha walichovuna kutoka kwa mheshimiwa huyo.sasa wakuu JF tuchangie ukimwi utaisha kwa jinsi hii.
 
Leta ushahidi, pia kama walikubaliana we inakuhusu nini? hakuna mtoto asiyejua ukimwi unaambukizwa vipi kati ya waandishi hao na huyo Nkamia.
 
sasa huko jimboni hawa waandishi wana nyumba za kuishi? Au wangefikia wapi? Nyumbani kwa mbunge?
Hiyo ziara haijafanyika?
Na kama kawatoa arusha hadi kondoa ulitaka awapeleke bila kuwapa posho?
 
Yani amewapangishia chumba kwa takrban wiki mbili.


Halafu wote wawili chumba moja?
Labda huyu fisadi anaumwa ile gonjwa la lala salama!

Hakuna siri chini ya jua,tutasikia tu, Lengo lake kwa hao warembo. Ngoja wadau waje!
 
Sio ishu ya kuileta hapa,ni mtu na maisha yake, tunaangalia maslahi ya nchi, Je hilo limeathiri utendaji wa majukumu yake, otherwise huo ni umbeya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom