Rais wetu Kikwete tufafanulie wananchi wako . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wetu Kikwete tufafanulie wananchi wako .

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, May 22, 2012.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Rais wa Jamhuri ya mungano wa Tanzania kwa mara nyingine tena wananchi wa Tanzania tumeshudia kumuapisha kwako prosesa Mark Mwandosya kuwa waziri mwengine asiyekuwa na wizara maalum, ijapokuwa wizara hiyo ulikuwa tayari umesha ifanyia uteuzi na kumteuwa Dk M Shein kushika nafasi hiyo ya waziri asiekuwa na wizara maalum,utafanya jambo la busara kama utatueleza wananchi wako ni yupi mmoja wapo baina ya wawili hao mwenye madaraka zaidi ya uongozi .

   
 2. E

  Erick Charles Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoma drooo
  :clap2:
  ****** kiboko
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Usiwe punguani, hakuna madaraka ya uongozi. Madaraka anayo kila mmoja na anatakiwa awe na wajibu wa kutekeleza kwa kile alichoajiriwa nacho, kila mmoja ni kiongozi na mwenye madaraka na uwajibikaji katika kazi yake.

  Au wewe si kiongozi katika kazi yako? na hauna madaraka wala uwajibikaji binafsi?
   
 4. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naona Ombeni Safue kama vile anasigitika anavyomwangalia Mwandosya au macho yangu jamani
   
 5. m

  maswitule JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145

  RIBOSOME la Upunguani linatoka wapi? alichouliza ndugu ni cha msingi unapokurupuka eti kila mmoja ana madaraka unataka kuuficha ukweli, maana madaraka yanatofautiana jamani hata ofisini kuna madaraka na wajibu wa mkurugenzi na mhudumu unatofautiana. Wizara maalumu kwanza ni ipi na kazi zake ni zipi? Hilo nadhani ni kupeana ulaji tu jamani.
   
 6. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maswitule mkuu,
  Umenena vema Jamaa anatafutiwa ritayament pakeg. Huyo mtu ni Mgonjwa hata picha inaonyesha, sasa ataweza kufanya kazi gani? Inashangaza kweli yaani hili taifa halina Kijana/Vijana wanaoweza kushika Nyadhifa mbalimbali ni lazima turudie MAGARASA hayohayo?
   
Loading...