Kwanini CHADEMA wakiwa nje ya nchi hawavai yale magwanda ya kuwindia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CHADEMA wakiwa nje ya nchi hawavai yale magwanda ya kuwindia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J4MAYOKA, May 24, 2012.

 1. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zitto & co kwa nini wakienda nje ya nchi hawavai zile nguo za kwenda kuwindia nguchilo?

  Nilitegemea Zitto safarini USA angevaa yale magwana ya mgambo lakini wapi

  au wanaona aibu kuyavaa nje ya nchi?
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Is this also an issue to occupy a great thinker's time?
   
 3. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akhi acha tujilie raha

  you never know asubuhi wale jamaa wanaweza ku pull the plug tena for another 24hrs
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  mbona mwigulu nchemba akiwa nje ya igunga hachukui mke wa mtu?
   
 5. k

  kagame Senior Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nijuze kuhusu Magamba na uvaaji wa sare zao nje ya nchi? Viongozi wa magamba wanasafiri sana nje ya nchi ila sijawahi kumuona yeyote yule akiwa huko huku kavunja na zile nguo zao za laana, weye wawaona cdm tu?
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwani JK anavaa zile nguo za Kifisadi za kijani???
  Akienda kutumbua VYUKUbugghaibuni???
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nguo za kijani ni sare za kuibia mali za tanzania..
  gwanda za chadema ni za kukamata mwizi meeen.
  kwa hiyo siku ccm wakitoka nazo nje inabidi makamandas wawafuatilie hukohuko na gwanda.
   
 8. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  J4 umetamka yanayoufurahisha moyo wako, lakini yanaonyesha wazi uwezo wa kufikiri ulipofikia.
   
 9. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kwasababu hamna magamba/nguchiro wa kuwinda huko nje,huko ni msitu safi huu wakwetu ndo unaoharibiwa na magwanda
   
 10. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  JF mjitahidi isikatike maana tunamiss vitu kama hivi. Yaani nimecheka mpaka basi
   
 11. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Je CCM nao huvaa magamba yao ya kijani wakisafiri nje?
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Swali safiiiiiiii!!
   
 13. a

  annalolo JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani wewe J4 nimeogopa ban tuu. u wezo wako wakufikiri kama ****** ya kuku
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  CCM Skafu na magwanda ya kijani sikumwona Kikwete akiyavaa USA
   
 15. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  jf ni zaidi ya mhijuavyo
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hoja za kijinga hujibiwa kijinga jinga safi sana mkuu kwa jibu zuri....
   
 17. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Au yana Chawa!?
   
 18. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jk ameenda ughaibuni mara 500 tangu aende magogoni,katika ziara zote hizo hakuna alipovaa mbogamboga,mbona hujahoji?...............pumbaaaaaaaaf kudadadekiiiiiiiiiiiiii
   
 19. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mbona hata JK havai kijani lake?
   
 20. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,112
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
   
Loading...