Kesi ya Mnyika hukumu ni Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Mnyika hukumu ni Leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Precise Pangolin, May 24, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wanabodi ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hisia tofauti itaanza masaa machache hajayo tuone Kama chaguo la wapiga kura wa ubungo litapigwa chini au mahakama itawaunga mkono.

  Twende kazi
   
 2. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,940
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  Mungu amtangulie
   
 3. M

  Masudi Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu yupamoja naye
   
 4. D

  Di biagio Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mahakama itatengua ushindi wa Mnyika habari toka ndani.
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nyie watu mnakimbilia kuanzisha uzi ili kesho wote watakaoanzisha uzi ziunganishwe siwapendi sana!!!! Kama ulikuwa unatukumbusha sawa lakini nitoa angalizo kali kwa members ambao walio mbali wasianzishe uzi huku wako vitandani wamelala kwa minajili ya sifa za kijinga.
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na nadhani ndiyo maana CDM nao wametega mkutano wao J/Mosi ili endapo dhulma itafanyika wajue nini cha kufanya.


  Kama wana akili wasithubu kufanya upuuzi huo
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Losambo hii kesi inaniuma sana utafikiri hukumu yangu magamba yanataka kupora haki yetu Kama Arusha mjini
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Isikupe hofu kwani magamba yapo ICU yaanio yakijitusu kufanya uhuni tunatoa mipira na ndiyo mwisho wao. Vyovyote watavyofanya tupo tayari hata kama ni uchaguzi na ndipo watakapojua nguvu ya umma ni nini?
   
 9. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Ngoja tuwait ili hatimaye tu see what maamuzi yatafanyika hii leo.
  .
  "IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY, AND MONEY HAVE CREATED ALL KIND OF MADNESS IN THIS WORLD".
   
 11. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Source: Gazeti la Uhuru

  Wanachama wa CCM wanadai CHADEMA wamejipanga kufanya vurugu leo katika kesi ya Mnyika leo kwa kuwa wanajua watashindwa.

  Hivi najiuliza, ina maana CCM wameshajua hukumu?
   
 12. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  yani kama ni karata CCM wanachanga BANDE wachache mtaelewa bande labda watoto tuliokulia uswazi lakini wa mboga nane?
   
 13. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  yani washapanga kudhulumu
   
 14. mdhalendo

  mdhalendo JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Si ajabu hawa majamaa wa SISIEMU wamejua hukumu.
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mahakama ikifuata haki Mnyika ni mbunge wa ubungo. Jaji akitoa hukumu kwa maelekezo ya nje ya mahakama Mnyika siyo mbunge wa ubungo
   
 16. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Watashindanaa lakini Hawatashinda.

  Mnyika ataendelea kuwa Mbunge wetu tu.
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mungi tuipe nafasi mahakama itoe maamuzi yake na tuone imeegemea ushahidi gani katika kutoa maamuzi aidha ya kutengua ubunge ama kuuthibitisha.

  Mkuu jaji gani alikuwa akiisikiliza hiyo kesi?
   
 18. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  "Ewe Mwenyezi Mungu tunakuomba uwapige upofu wale wote wenye nia mbaya ya kuwapora haki wapiga kura wananchi wa Tanzania ktk jimbo la Ubungo"
   
 19. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona CCM washatoa hukumu kwenye gazeti lao? Wamesema CDM wapo dar kufanya vurugu kwani wananua fika kuwa Mnyika atashindwa
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  [h=6]Kwenye Wall yake Facebook Mnyika kayaandika haya

  Nimepokea taarifa kwamba hukumu ya kesi ya uchaguzi dhidi ya ushindi wetu Jimbo la Ubungo kesho tarehe 24 Mei 2012 itatolewa katika Jengo la MAHAKAMA KUU (KIVUKONI-COURT No. 1) badala ya jengo ilipo mahakama ya kazi (akiba) ambapo kesi iliendeshwa. Kama tulivyotafuta kura pamoja, tukapanga mstari kupiga kura pamoja na tukakesha kuzilinda pamoja tujumuike pamoja kujua hatma ya kura zetu. Hukumu ya kesi inatarajiwa kuanza kusomwa SAA NNE ASUBUHI hata hivyo ni muhimu kuwahi mapema zaidi asubuhi kwa ajili ya itifaki za kuingia mahakamani.

  Maslahi ya Umma kwanza!

  MUHIMU: Mpe taarifa mwenzako!
  [/h]
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...