Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati Kamati za Bunge zikiendelea kuchambua Bajeti za Wizara mbalimbali katika mchakato wa kuelekea Bunge la Bajeti, habari zilizotufikia zinaeleza kuwa vinara wanne Mambo ya Nje wamesimamishwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
KATIKA HALI YA KUWAGAWA WATANZANIA CCM IMEANZA KUWATUMIA BAKWATA KUWAGAWA WANANCHI.WAZIRI WA ELIMU NI MUISLAM MAKAMU WA RAIS MISLAM KATIBU ITIKADI CCM NI MUISLAM,RAIS WA NCHI MUISLAM MKUU USALAMA...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Wajameni, nape yupo dunia hii kweli. nataka atueleze maana ya kinyago wamechonga wao halafu kiwatishe. swali kwake,je kama wamechonga wao iweje wakiige kwa kila kitu tizama, 1. m4c ilifanyika...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
It is plainly obvious that the African can really not run a state worth anything. Apart from a few exceptions, most of Africa is a diseases ridden destitute place run by thieves, goons and...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
  • Closed
Ndugu wana jamii nimekuwa nashangazwa sana na kilio cha ccm kuhusu ukabila make wamekuwa wanawambia cdm kuwa wana ukabila. Kiukweli mi nakanusha sana kwa sababu zifuatazo: heche ambaye ni...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Wanabodi mimi ninakaswali kadogo tuu kuhusu huyu bwana Chizi na waziri.... Watu wameshikili bango hili jambo bila kujua kiini chake, kwa harakahara tuu ni kwamba Chizi hakujiteu mwenyewe. Kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nashangaa kuona kuna watu wanaona kitendo alichofanya MWAKYEMBE ni kibaya kwa kutaka kuhalalisha UOVU wa wale MAWAZIRI waliomtangulia.TARATIBU ZA UTUMISHI hazikufuatwa sasa mnataka aendelee na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nambari wani eeh, nambari wani ni CCM. Wananchi jipangeni, Malori, Vyakula, Vinywaji kila kitu kimekamilika. Twendeni Jangwani....!! Vua Gwanda vaa Uzalendo. Kidumu Chama cha Mapinduzi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kauli mbiu yako ya "vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo" sio sanifu. Kwanza umeitohoa kutokana na ya Chadema ya "vua gamba, vaa gwanda" Uzalendo ni kitu kisichoonekana bali matokeo yake ndio...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
  • Closed
Hadi sasa nimeshindwa kupata hata kiongozi mmoja wa CCM aliyemsafi atakaethubutu kupanda kesho jukwaani pale Jangwani a.k.a Chadema square.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Utafanyika katika viwanja vya jangwani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Video ; JANJAWEED BADO TUNAO – UVCCM KWA MTIPURA | Mzalendo.net
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mawaziri wa ccm waliojaribu kuzima moto wa chadema Lindi na Mtwara wazomewa leo Sophia Simba amezomewa katika kijiji cha nyangao jimbo na mtama, Mkuchika amezomewa jimboni kwake Newala katika kata...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Asalam Aleykum! ndugu zangu waislamu! Hivi kweli haya madai tunayoyataka yana tija ama tu kwa kutokuchunguza mambo vizuri ndo tumefika huku? Baraza la Mitihani limerekebisha kasoro iliyojitokeza...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Kuna makubaliano maalum kati ya Chadema na kundi la Sitta. Ilikuwa Sitta agombee urais ila kukatokea matatizo na ndio maana walimwomba Dr Slaa agombee hakuwa ameandaliwa. Mkakati mkubwa ni kuwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Ndiyo Wakuu, hesima kwenu. Baada ya ziara mbili za mwendelezo wa M4C wilayani Geita katka kata za Lwezera na Kasamwa, kesho makamanda wataendeleza harakati wilayani Kwimba,jimbo la Sumve katka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…