Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mambo mengine yako karibu mno na ukweli. Wote tunajua kwa Kiswahili neno Mbunge, ni muwakilishi wa wananchi. Kwa Kihehe mtu akiambiwa ni mbunge, maana yake ni mtu aliyezibwa mdomo. Swali la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Juzi nilikuwa nimekaa mahali fulani nikaona mabasi ya mepambwa bendera za CCM yakisubiri wananchi wapande ili wapelekwe kwenye mkutano nikawa sielewi ni kwa nini na hii siyo mara kwanza kwangu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni mkataba wa kipuuzi ambao haujawahi kutokea. alonga Mwakyembe .. Mpaka sasa hivi serikali inadaiwa 6.9 billion shillings.. ndege imekodiwa tumeanza kuilipia ikiwa Hungary hata kabla haijatua
0 Reactions
146 Replies
12K Views
Hivi karibuni tuliskia taarifa za idadi ya watanzania amabapo tuliambiwa wakristo ni 52 percent na waislam ni 34 percent lakini ofisi ya takwimu ya taifa imekanusha na kusema huo ni uzushi sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jacob Zuma, A man of the People
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawapokeza CCM kwa operesheni JAZA WATU JANGWANI kwani imefaulu kwa kiwango kikubwa. Sasa ni wakati wetu sisi CUF kudhihirisha nguvu ya haki tuliyonayo. Si kama ile ya mafuso ni zaidi ya ile ya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni takribani miaka miwili sasa tangu kufanyika uchaguzi mkuu wa Rais ,mbunge na diwani inchini,lakini huwezi amini Mtanzania, mbunge wa jimbo la Magu mkoani Mwanza CCM hajawahi kuchangia,kutoa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nikitazama mikutano inayoendelea sasa ya CHADEMA na CCM kujibu mapigo napata picha moja,mikutano ya chadema inapata wingi wa vijana wa umri wa kati wakati CCM ni kina mama kuanzia miaka 30...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mtu msomi wa sheria kama mimi ninayejua sheria za kimataifa sitakataa kwamba hili nchi iitwe nchi inabidi vitu vikuu vitatu vifuatavyo viwepo(i) serikali,(ii)jeshi na (iii)kutambulika...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
1610 2009 Na Ally Saleh Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere hakuwahi kuwa kipenzi kikubwa sana cha wananchi wa Zanzibar. Na hilo ni kwa sababu nyingi ambazo kwa ukweli au dhana...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama ambavyo wengi hawakutarajia Mwl. Nyerere aliomba kung'atuka ikiwa ni mpango wake wa kuonesha kuwa nchi inaweza ikaendelea bila yeye Nyerere kuwepo madarakani, aliomba afanye hivyo wakati bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanJF, Juzi juzi nimemsikia mchambuzi maarufu Dr. Lwaitama akihojiwa kupitia Sibuka TV, pamoja na nondo nyingi alizotoa, nimefurahishwa na hoja ya kama mtu ni msafi anafanya nini ndani ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
NAIROBI (Kenya) - Kenya's internal security minister was killed with five other people when the police helicopter they were travelling in crashed in a forest near Kenya's capital, officials said...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
WanaJF: Mkisoma makala hii superb (kama kawaida yake Jenerali) huwezi kukosa kubaini ni kiongozi yupi hasa ktk nchi yetu anayesemwa. Nime-highlight kwenye red...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Found this interesting artilce from Deputy Minister, January Makamba, "I am taking the liberty to respond so as to correct certain factual errors and flaws in logic, and offer him and the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndiyo Wakuu, heshima kwenu. Katika kutimilika kwa kauli ya "SIKU MJINGA AKIJITAMBUA ,MWELEVU UPO MATATANI " Kwa mara nyingine tena ccm yaendelea kukalia kuti kavu baada ya kugalagazwa leo jioni...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Ccm
Wana jamii wenzangu ningeomba mnisaidie kwenye hili,juzi baada ya magamba kufanya mkutano wao pale jagwani walituma text kwa watu wengi na kati ya hao nilikuwa mmoja wa waliopata hiyo text...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
..Juzi katika Viwanja vya Jangwani katika Mkutano wa CCM..Mh John POMBE..Magufuli..alisema kuwa wizara yake ina mpango wa Kuanzisha Usafiri wa majini...ambao utakuwa kuanzia Bagamoyo( pwani) hadi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watoto wa viongozi wa Africa, na ndoto za aibu to western countries I am dreaming of a day where all the looted money and assets deposited in the outside world will be confiscated and returned to...
0 Reactions
1 Replies
831 Views
CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU. 1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA 2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…