Hivi CCM hii ndiyo style yenu ya mikutano?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Juzi nilikuwa nimekaa mahali fulani nikaona mabasi ya mepambwa bendera za CCM yakisubiri wananchi wapande ili wapelekwe kwenye mkutano nikawa sielewi ni kwa nini na hii siyo mara kwanza kwangu!

Siku nyingine nikiwa katika mihangaiko yangu nikiwa pale Karatu nikielekea Mbuli nikakutana na maroli,mengi yamebeba wananchi nilipo uliza nikaambiwa wanapelekwa kwenye mkutano wa uchaguzi!!!
Nikajiuliza maswali lakini sikupata jibu!!

Inamaana CCM hawawezi kwenda kwenye mahali husika na kufanya mkutano kuliko kuwasomba wananchi kama magunia? Je, hawaoni kama wanaweza kuwasababishia ajali wananchi? CCM kwanini msiwaige CHADEMA wananchi ndiyo wanafata mkuta siyo mkutano unawafata wananchi!!Je hii inaashiria nini kwa chama tawala?
 
Hawawezi kutumia njia ya cdma hata mara moja,kama ujawai kushuhudia Nape akilia hadharani ndio itakuwa siku hiyo watakapo hamua wananchi wafuate mkutano.
 
Hata hii ya kuwabeba kuna wakati inafeli. Kule Mbinga Nape alikwenda na msafara wa pikipiki na magari 40, lkn kufika mkutanoni, audience ilikuwa watoto wa shule tu na masweta yao. The rest ni waliokuwamo msafarani, mm nikashangaa kwa nini hakuwahutubia huko huko kama ni wenyewe tu
 
Kwamaana hiyo wakipanga mkutano ni lazima watenge pesa ya PA,Pesa ya kusafirisha wanachama!!....kweli hii nikali ya mwaka!!unachumbia na na kujilipia mahali!!bwana kaka!!
 
Hata hii ya kuwabeba kuna wakati inafeli. Kule Mbinga Nape alikwenda na msafara wa pikipiki na magari 40, lkn kufika mkutanoni, audience ilikuwa watoto wa shule tu na masweta yao. The rest ni waliokuwamo msafarani, mm nikashangaa kwa nini hakuwahutubia huko huko kama ni wenyewe tu
Hadi wawape buku mbili mbili + tshirt + kofia ndo wanakubali!
 
Shinyanga waliwahonga waendesha boda boda na waendesha baiskeli,wakawabeba watu walipofika uwanjani wananchi wakatimka kuelekea kwenye mkutano wa CDM.
 
Juzi nilikuwa nimekaa mahali fulani nikaona mabasi ya mepambwa bendera za CCM yakisubiri wananchi wapande ili wapelekwe kwenye mkutano nikawa sielewi ni kwa nini na hii siyo mara kwanza kwangu!

Siku nyingine nikiwa katika mihangaiko yangu nikiwa pale Karatu nikielekea Mbuli nikakutana na maroli,mengi yamebeba wananchi nilipo uliza nikaambiwa wanapelekwa kwenye mkutano wa uchaguzi!!!
Nikajiuliza maswali lakini sikupata jibu!!

Inamaana CCM hawawezi kwenda kwenye mahali husika na kufanya mkutano kuliko kuwasomba wananchi kama magunia? Je, hawaoni kama wanaweza kuwasababishia ajali wananchi? CCM kwanini msiwaige CHADEMA wananchi ndiyo wanafata mkuta siyo mkutano unawafata wananchi!!Je hii inaashiria nini kwa chama tawala?

hii inashiria ukosefu wa wanachama walokuwa nao hawakidh mahtaji ya viwanja wanaofanyia mikutano.hi ni aibu coz haiwezkan chama kilichopo madarakan kukosa wakereketwa wakusitiri viwanja vyao..WHAT IS WITHIN BEHIND THE SCENE?!!
 
Juzi nilikuwa nimekaa mahali fulani nikaona mabasi ya mepambwa bendera za CCM yakisubiri wananchi wapande ili wapelekwe kwenye mkutano nikawa sielewi ni kwa nini na hii siyo mara kwanza kwangu!

Siku nyingine nikiwa katika mihangaiko yangu nikiwa pale Karatu nikielekea Mbuli nikakutana na maroli,mengi yamebeba wananchi nilipo uliza nikaambiwa wanapelekwa kwenye mkutano wa uchaguzi!!!
Nikajiuliza maswali lakini sikupata jibu!!

Inamaana CCM hawawezi kwenda kwenye mahali husika na kufanya mkutano kuliko kuwasomba wananchi kama magunia? Je, hawaoni kama wanaweza kuwasababishia ajali wananchi? CCM kwanini msiwaige CHADEMA wananchi ndiyo wanafata mkuta siyo mkutano unawafata wananchi!!Je hii inaashiria nini kwa chama tawala?
Na nyamapori na ugali na posho ya 5000/-
 
Hiki chama sijui kitakubali lini kuwa hakiitajiki tena kwa wananchi,,,, Jmosi nilikuwa naelekea kigambo kufika feri nikawaona kundi la kina mama wenye kujichubua (mkorogo.. na ni kwa wote waliokuwepo) nikamuuliza mmoja wanasubiri nini maana kama ni mkutanoni mbona mabasi yamejaa hawapandi akaniambia wanasubiri usafiri ulioandaliwa!!!!!!!!!!!!Walikuwepo kuna baba wachache dizaini za waleeee wacheza bao vibarazani.... hawa ndo wanachama waliobaki wa ccm (waganga njaa)
 
Back
Top Bottom