Na CUF TUJIPIME CDM SQUARE Ijumaa Ijayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na CUF TUJIPIME CDM SQUARE Ijumaa Ijayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Head teacher, Jun 11, 2012.

 1. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nawapokeza CCM kwa operesheni JAZA WATU JANGWANI kwani imefaulu kwa kiwango kikubwa. Sasa ni wakati wetu sisi CUF kudhihirisha nguvu ya haki tuliyonayo. Si kama ile ya mafuso ni zaidi ya ile ya wapinzani wetu CDM. Upo wapi Maalim, Lipumba, Jussa, Mtatiro...?
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nahisi itafanikiwa kama itafanywa baada ya swala ya ijumaa
   
 3. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Sijui kwa nini nimecheka ghafla.....
   
 4. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ile ya cdm ilifana kwa sababu watu walitoka kanisani week end.
   
 5. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Baada ya kupata kura 200 Uzini, nyuma ya CDM kwa kweli tumenyong'onyea na hatuna hamu ya kushindana nao. Siku hizi tupo bize na kuchoma moto makanisa
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  wameshindwa wanaume wao CCM wanawake wataweza?
   
 7. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimecheka mpaka majirani wameshtukia
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mkuu si tayari mlifanya zenji na kuchoma makanisa au?
   
 9. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Usituchangenye na UAMSHO..!
   
 10. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Mabwana zenu waliwaleta mawaziri uchwara kurudia ahadi badala ya kusema utekelezaji nyie nasikia mtamleta lile KUNDI LA UAMSHO kueleza utekelezaji wa uchomaji makanisa BOKO HARAMU watakuwa wageni waalikwa.
   
 11. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Ahahahahaha!we ni noma!ur really funny.
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Aisee sikujua kuwa Tanzania ina Wasabato wengi vile!
   
 13. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wasabato hushinda kanisani tuu jumamosi
   
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  cuf tangia tugalagazwe na wapinzani wetu igunga roho iliniuma sana. ndo maana hata Arumeru hatukuweka mgombea ili kuficha aibu. hatuna uwezo wa kucord mafuso but tujikusanye baada ya swala ya ijumaa nasi tuujaze uwanja wa chadema. ole wao polisi wazue maandamano yetu.
  haki sawa? asipenda haki? jino kwa jino? asanteni sana. Mia
   
 15. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hata mimi
   
 16. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Umeua mkuu
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  watafutane UAMSHO waje kwa wingi hapo na pia muwalete na ccm maana nyie wote ni chama kimoja
   
 18. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  True, na Shura itabidi wawepo watoe tamko kuhusu baraza la mitihani
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1: bora umekua mkweli na muwazi
   
 20. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Head teacher nisingekustukia leo kabla sijapata ban CUF wangeniloga.
   
Loading...