Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,360
..Juzi katika Viwanja vya Jangwani katika Mkutano wa CCM..Mh John POMBE..Magufuli..alisema kuwa wizara yake ina mpango wa Kuanzisha Usafiri wa majini...ambao utakuwa kuanzia Bagamoyo( pwani) hadi Fery (dar es salaam)..kupitia bahari ya Hindi...sasa najiuliza hii Ahadi aliyoitoa Mh Magufuli iko katika Ilani ya CCM..?au inakuaje
Naomba Kufahamishwa....
Naomba Kufahamishwa....