CCM na wanawake CHADEMA na vijana je kuna kundi linadanganywa?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,881
1,124
Nikitazama mikutano inayoendelea sasa ya CHADEMA na CCM kujibu mapigo napata picha moja,mikutano ya chadema inapata wingi wa vijana wa umri wa kati wakati CCM ni kina mama kuanzia miaka 30 kuendelea.

Rejea okoa mikoa ya kusini na mkutano mkubwa wa CHADEMA Jagwani na mikutano ya nape na mkutano mkubwa wa ccm jangwani.

sitajadili watu wanakujaje kwenye mikutano ila nitajadili muitikio wao kimakundi.
wakati CHADEMA wakihudhuria vijana wa rika zote na umri wa kati mpaka miaka 50 kwa upande wa ccm wanaonekana kina mama wengi kuanzia ka 28 hivi mpaka vikongwe je hapa hakuna kundi linalodanganywa?

Je, chadema inadanganya vijana? au CCM inajua kina mama wana huruma hivyo kutumia mwanya huo kuwadanganya ili kupata kuungwa mkono?

Je, wazee wataungana na wake na binti zao au watawaunga mkono vijana wao?
je mabint wa umri wa miaka 15 hadi 28 wataungana na mama na dada zao au wataungana na kaka zao?

 
Nachoshukuru kwenye vijana kuna vijana wa kike pia lakini kwenye wanawake hakuna wanaume hahaha nadhani jibu mnalo kitakachotokea 2015...PIPOZZZZZZZZZZZZZZZZZZ.
 
Nachoshukuru kwenye vijana kuna vijana wa kike pia lakini kwenye wanawake hakuna wanaume hahaha nadhani jibu mnalo kitakachotokea 2015...PIPOZZZZZZZZZZZZZZZZZZ.

yetu macho na masikio.
ila ccm inatambiaga mtaji wa wanawake kwa sababu wanadai vijana hujitokeza kweenye mikutano lakini kwenye kura huwa hawashiriki.
 
Pictures005 021.jpg DSC00750.JPG
Mikutano ya hadhara na mikutano ya kampeni ina tofauti. Wanawake wanaikubali CDM na kwenye mikutano ya kampeni wako wengi tu. Kwenye mikutano ya hadhara ndio kuna "tatizo". Sasa ukisema kwamba unaipima CDM kwa kuangalia mikutano ya hadhara, hapo unakosea.
 
Maskini mama zetu,hizi khanga zita wapeleka wapi? Yan nape wa ccj aliye kwa muda nyinyiemu ana wadanganya kwa khanga kila siku. Uzuri ni kwamba nao wamesha kuwa wajanja siku hizi wana fuata posho, unajua posho anayo toa nape siku hizi ni nono lazima waifate waje wachangie M4C.
 
tatizo wazee uko vijijin wanajua mpaka leo rais ni nyerere ndo mana wapo ccm ndo mana sasa chadema wanapiga m4c mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba kuwaondoa ujinga wale wazee wote waliokua wamelala....sasaizi kitanuka we ngoja mkuu
 
WANAWAKE WA TZ WANASHANGAZA KWEEELI...! WAKATI WA KUJIFUNGUA WANALALA WATATU KITANDA KIMOJA....uchungu ukiisha wanarudi kwa ccm ..! poleni MTAZAA KWA UCHUNGU
 
unajua ccm wanapenda kuwatumia wakina mama kwasababu wanaweza kudaganyika kilaisi mfano mama akimfumania baba ana mwana mke mwengine baba anamwomba musamaha na atamusamee lakini kama ingelikuwa kwa baba nivigumu kusamee na manisha kwamba wakinamama wanapopewa kanga na tshert wanasahau maisha yote magumu wanayo yapiti uko nyuma na badae wnahanza kujutaaaaaaaaaaaaaa tena sana wanapoende madukani wakakuta vitu vimepanda kuliko. Kwiyo tusiwalumu bali nijukumu letu kukaanao china na kuwaelewesha au kupata mjia ya kupita.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom