Ofisi ya waziri mkuu na taarifa za uzushi

MPALESTINA MWEUSI

Senior Member
Jun 6, 2012
140
117
Hivi karibuni tuliskia taarifa za idadi ya watanzania amabapo tuliambiwa wakristo ni 52 percent na waislam ni 34 percent lakini ofisi ya takwimu ya taifa imekanusha na kusema huo ni uzushi sasa sijui hii ofisi ya waziri mkuu ambayo taarifa zilianzia huko ilikuwa na lengo gani. Mie naona hapa kuna kutumiwa.
 
Mkuu, taarifa yako ni mifupa mitupu. Haina nyama!
 
Alisema lini na wapi? Officially hakuna statistics za waislamu na wakristu kwa kuwa si parameter ya sensa ya taifa
 
Kwa hiyo taarifa sahihi ni zipi? uzushi haukanushwi bila data.

Taarifa sahihi ni kuwa hakuna data za wakristo na waislamu wako wangapi. Tokea sensa ya 1968 tuliachana na masuala ya kabila na dini ya mtu kwa kuwa hayana umuhimu katika kupanga mipango ya maendeleo ya nchi.
 
Kwa hiyo taarifa sahihi ni zipi? uzushi haukanushwi bila data.

Taarifa yako bado haiondoi utata. Ungetuwekea hizo takwimu za kweli huku ukilinganisha na zile zenye utata. Hapa umetuachia maswali mengi kuliko majibu!
 
Hapa sioni swali wala jibu zaidi ya UJINGA. What is so special watu fulani wakisema wao ni wengi zaidi yetu? Ingekuwa kuna mgao unatoka in accordance to the number of people to be divided among, ningesema kuna tija ya watu kuleta ujanja wa wao kujifanya wengi. Otherwise ni ule utaahira wa kulalamikia kila jambo, hata lililoko kwenye hisia zako mwenyewe.
 
Back
Top Bottom