Kipima Joto

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Mambo mengine yako karibu mno na
ukweli. Wote tunajua kwa Kiswahili
neno Mbunge, ni muwakilishi wa
wananchi. Kwa Kihehe mtu akiambiwa
ni mbunge, maana yake ni mtu
aliyezibwa mdomo. Swali la kipimajoto, ‘JE, WABUNGE WETU WENGINE NI
WABUNGE?
 
Nita jibu kwa kutumia tafsiri ya kiswahili

wabunge ni wawakilishi wa wananchi.
 
Aaaah, kaka nimeishi Iringa kwa miaka kadha sikuwahi kusikia huu msamiati kwenye hii Lugha yao, hico ni kihehe cha Kalenga au Njombe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom