Jacob Zuma, A Man of the People

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
1,177
Jacob Zuma, A man of the People

 
Last edited by a moderator:
Ni mwanasiasa ambaye hupenda kujichanganya na watu wake. Lakini pia huwa hakubali ngoma impite bila kuicheza
 
He's the President who Marries Women's left and right Using Government taxes to Maintain the High End Maintanence of the new ones in

the President Houses, is it a shame or a sham? or too much Education with vigorously Traditional Belief Exploitation?
 
He's the President who Marries Women's left and right Using Government taxes to Maintain the High End Maintanence of the new ones in

the President Houses, is it a shame or a sham? or too much Education with vigorously Traditional Belief Exploitation?

Huo ni utamaduni wa wazulu
 
Huo ni utamaduni wa wazulu

Yeah ni Utamaduni wao, lakini kwanini anaiwekea Serikali ya South Africa Mzigo wa kubeba hao wanawake?
1. Hajasema nani ni 1st Wife kwahiyo anawarotate kwahiyo wote wanatittle hiyo Moja.
2. Kila Mmoja Amepewa Nyuma na Tax Payers are the one who are feting their bills, those are Mansions why not him?
3. They get all government support and stipend as the 1st wife

Sasa kama unaoa kiutamaduni; fanya hivyo lakini usiiweke nchi yako ndio walipaji wa fahari yako; Kwenye Katiba yao
Haijasema Chochote ndio Maana anafanya hivyo.

Unajua wana pia Baraza la Machief; Hilo linaongelea Suala hilo lakini Baraza la Machief sio kila kitu kiko kwenye Katiba

Bunge lao linaogopa kuliongelea kwa sasa wanataka kubadilisha, lakini hawata fanya hivyo wakati huyu rais yuko

Madarakani. South Africa wana system ya Ajabu lakini hata Wazulu wenyewe hawfurahishwi; kumbuka Buthelezi

Yeye ni Mzulu na ana wake zaidi ya Watatu, Mandela alisisitiza awe na one official Wife na alifanya hivyo Wengine wote

Aliwaacha Mzuzu.
 
Back
Top Bottom