Ccm

Lekakui

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,451
589
Wana jamii wenzangu ningeomba mnisaidie kwenye hili,juzi baada ya magamba kufanya mkutano wao pale jagwani walituma text kwa watu wengi na kati ya hao nilikuwa mmoja wa waliopata hiyo text imeandikwa hivi "SAFARI YA CCM KUSHINDA UCHAGUZI 2015 INAANZA LEO JAGWANI DSM,WANACCM WOTE IMEFIKA SASA TUSEME BASI JUU YA UPOTOSHAJI NA PROPAGANDA ZA WAPINZANI.CCM HAITETEREKI"Sender ni CCMMessage center ni +46730199100je wana JF mnaichukuliaje hii text!!!
 
waambie waache ujinga.

nchi hii haitawaliwi kwa sms.
 
waambie waache ujinga.

nchi hii haitawaliwi kwa sms.

Mimi nilitaka ccm iniombe radhi,bahati mbaya mods wameondoa thread yenyewe,hata hivyo nashukuru kwa kuliona hili jambo.Kwa ufupi ccm hawakuandaa timu ya propaganda kisayansi digitally,bado wapo kianalogali.
 
mimi nashukuru tu kwamba wanajua wana safari ndefu ya kushinda 2015,wambie lazima watacollapse njiani
 
Back
Top Bottom