Ccm kutumia benki ya wakulima kununua kura 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm kutumia benki ya wakulima kununua kura 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jun 10, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
  1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
  2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
  KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
  BINTI MREMBO LUMUMBA CCM
  :confused2:
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  walete tu hiyo mihela tuchangie M4C si ni pesa za baba zetu bwana..
  zitakua kama mabilioni mengine ya JK
   
 3. a

  andrews JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ZOEZI LA JANA JANGWANI LIMEWAFANYA WATENDAJI NDANI YA CCM KUGAWANYIKA ,SABABU WENGINE WANASEMA WAKATI WABUNGE WA CCM WANAFUKUZWA KAZI KWA UBADHILIFU NA MWINGINE AKIKAMATWA KWA RUSHWA VIMEWAFANYA WANASIASA MAKINI KUKATAA MKUTANO HUO WAKIUONA KAMA NI AJENDA YA NAPE NA GENGE LAKE WANAOHOFIA MABADILIKO MAKUBWA YANACHOKIKABILI CHAMA HICHO NA WENGINE WANATAKA NAFASI YA NAPE APEWE MSOMI MAANA ELIMU YAKE INAKIDIDIMIZA CHAMA MAANA HAENDANI NA KIWANGO CHA KISASA:clap2:
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  waanzishe Mikopo tutachukua na KURA hawapati!
   
 5. U

  UNO Senior Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila Mtz na kila kijana ana haki ya mikopo hiyo; ni kodi zetu
   
 6. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama wanaanzisha kwa pesa za chama chao, kutumia wajumbe wao wa nyumba 10 sio tatizo, maana ni mradi wao.ila ikiwa benki hizo zitaanzishwa kwa pesa ya serikali (uma), malmaka itakayohusika ni serikali ya kijiji/mtaa. watz wa leo hawatakubali kupitia kwa mjumbe wa ccm.kufanya nini? yeye ni nani katika nchi hii? wasithubutu kuingiza siasa katika jambi hilo.watazidi kujichimbia kaburi.
   
 7. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Bado CCM ina ndoto ya kutumia mtaji wake mkubwa, yaani UMASKINI wa waTZ!!!! Safari hii waTZ wameamka!

  Hela zenyewe watapata wapi!!
   
 8. a

  andrews JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​ni majambazi mimi nitafadhiri mapanga 2015 tuwatoe madarakani wakiiba kura lazima waoodoke kwa nguvu au mikuki tunajiandaakuanzia mikoa inayopakana na kagame lazima tuweke historia
   
 9. ZWANGE

  ZWANGE Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
   
Loading...