Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wanajamvi nilifikiri watu hawa wapo tu wizarani kumbe hata Bungeni wamo,Mh Kigwangala ameniacha hoi pale aliposhindwa hesabu za darasa la pili,hebu tazameni alichoweka kwenye wall yake ya...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Leo kwenye kikao cha 'briefing' cha wabunge, mbunge wa nzega Mh Dkt. Hamis Kigwangalla amejikuta ktk wakati mgumu alipoamua kuweka wazi msimamo wake kuwa hakubaliani na mpango wa spika wa bunge Mh...
12 Reactions
131 Replies
10K Views
Kuanzia leo hadi uchaguzi mkuu wa 2015 imebakia miezi 36 kamili. Miezi hii ndio itaamua jinsi gani CDM kama chama cha siasa kitaweza kujipanga kuweza kujiandaa kimfumo, kiitikadi, kisera na...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
WAKATI Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akitambia ushindi mkubwa walioupata katika kata 22 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Jumapili, CHADEMA...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifwatilia mara kwa mara pale ninapopata taarifa kuwa maliasili zetu zimekamatwa huko ng'ambo, lakin nikagindua kuwa. Sisi kama watanzania hatupaswi tu kusikitikia uvushwaji wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
..naona Prof wa ukweli wa uchumi Nguyuru Ibrahim Lipumba kaamua kwamba CUF itamuwekea dhamana Sheikh Ponda. ..sasa ili CUF wasionekane kwamba wameegemea upande wa Waislamu, mimi napendekeza...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
MONDAY, OCTOBER 29, 2012 MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI YAANIKWA HUKU YAKISINDIKIZWA NA MIRIO YA RISASI KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA YA DARAJA MBILI MKOANI ARUSHA,CHAMA CHA...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nipo hapa uwanja wa mpira wa Sheih amri Abeid,ndio msafara wa Rais unaingia,akifuatana na viongozi waandamizi wa Serikali.Uwanja watu sio wengi sana, Baada ya viongozi wa serikali kuingia...
3 Reactions
118 Replies
10K Views
Hivi chadema bado na hii sera ya ukanda ...mana ndo ilikuwa hoja ya kampeni ubunge arumeru kuwa ukanda wa arusha,kilimanjaro ,manyara ujitawale uwe na serikali yake..... Sasa naona kimya nini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani mimi sidhani kuwa njia pekee ya chadema kuelekea ikulu 2015 ni lazima wafunge ndoa na cuf. Hapa jambo la msingi ni kila chama kinadi sera zake mbele ya wananchi. Watanzania wa leo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
yani huyu mtu alifanya mambo sitaki hata kumsikia ukitaka kupata ouvu wake soma kitabu cha padr sivalon na cha ris mstafu wa zenj the partinership jamaa alikuwa mdini sana
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni uamuzi rasmi wa Bodi ya Tanesco baada ya kimya cha muda mrefu
19 Reactions
117 Replies
11K Views
Tafsiri ya siasa ya kale na yaleo bado inarandana, hasa ikitazamwa kama ni shughuli za kujitolea zenye sura ya harakati za ukombozi, Takribani miongo mitano sasa, siasa za Tanzania zimejihuisha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Miaka yote mbona vibali vya ajira wizara ya Afya hutoka mwezi October mwanzoni, lakini mwaka huu umepita bila kutoa? Pia mishahara ya October bado? Nchi imefilisika nini?
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Umma umekubali kuwa magamba wameshinda viti vingi uchaguzi wa madiwani kwa kushinda viti 29 dhidi ya 5 vya CDM. Sasa tuangalie kisayansi zaidi ili kuona kiuhalisia nani ana mwelekeo mzuri kuelekea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii naomba maoni yenu kipi kilizingatiwa kuweka makao makuu ya wilaya ya kilolo kuwa kilolo na si Ilula naomba kujuzwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunamsikia akichelewesha kutoa dhamana kwa sheikh Ponda lkn tunamsikia akiwa bubu kwa mafisadi. kwanini ashindwe kuwachukulia hatua mafisadi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni dhahiri kwamba watanzania wengi wameanza kuchoshwa na mjadala wa Katiba Mpya, lakini sio kwa sababu wanahisi mjadala huu umepoteza umuhimu, bali wengi wameridhika na Content Ya Mapendekezo...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Kwa muda sasa simsikii tena yule mbunge wa chadema anayependa sana kuropoka hovyo.kwa anayejua alipo mtu huyu na anafanya harakati gani basi atujuze.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
“We don’t need to play it fair. Its all clear that the lake belongs to Malawi and just like how the former president Kamuzu Banda did by warning the Tanzanians from trying to claim part of the...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…