Hivi sera ya ukanda ya chadema imeishia wapi-

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
Hivi chadema bado na hii sera ya ukanda ...mana ndo ilikuwa hoja ya kampeni ubunge arumeru kuwa ukanda wa arusha,kilimanjaro ,manyara ujitawale uwe na serikali yake..... Sasa naona kimya nini kimetokea tena.... Ianzishe hii sera tena tuweze kitenga na watu wa kanda nyingine. Na itatupa kura nyingi sana 2015
 
Kuna mmoja humu sasa hivi kasema Arusha Rais wao ni Slaa. Ukanda kama kawa.
 
Hivi chadema bado na hii sera ya ukanda ...mana ndo ilikuwa hoja ya kampeni ubunge arumeru kuwa ukanda wa arusha,kilimanjaro ,manyara ujitawale uwe na serikali yake..... Sasa naona kimya nini kimetokea tena.... Ianzishe hii sera tena tuweze kitenga na watu wa kanda nyingine. Na itatupa kura nyingi sana 2015

ukereketwa hata kunukuu huwezi,majimbo wewe kilaza hata kama unafanya hujui watu sasa wana hasira na nchi yao hafagiliwi mnafiki hapa.
Nyinyi ndiyo mnaokereketwa na msichokula mbona watoto wa mafisadi hawakereketwi ?Kwa sababu wanajua ni dili ya baba zao ya kuwapa ulajiwewe jipendekeza labda watakuona
 
Cdm hii sera ni nzuri itatusaidia kuongeza kura na kupata ushindi 2015...slaa,mbowe ,nasari,lema,selasini,ndesamburo,rose,suzi,mtei mko wapi mbona kimya na hii sera ..ifufueni tena kama imekufa
 
A Town tunajitegemea wenyewe we dont need no help from the central government badala yake CG ndio wanakuja kuchukua hela from our town :A S angry:
 
Cdm hii sera ni nzuri itatusaidia kuongeza kura na kupata ushindi 2015...slaa,mbowe ,nasari,lema,selasini,ndesamburo,rose,suzi,mtei mko wapi mbona kimya na hii sera ..ifufueni tena kama imekufa
utaliwa kibogah kwa unafiki wa kujifanya cdm
 
Hivi chadema bado na hii sera ya ukanda ...mana ndo ilikuwa hoja ya kampeni ubunge arumeru kuwa ukanda wa arusha,kilimanjaro ,manyara ujitawale uwe na serikali yake..... Sasa naona kimya nini kimetokea tena.... Ianzishe hii sera tena tuweze kitenga na watu wa kanda nyingine. Na itatupa kura nyingi sana 2015

Hata ukombozi wa akili hujapata! Sera za vyama vyote zimo humu kwenye mtandao hata kusoma tu unashindwa! Hii nchi itaendeleaje! Ndugu yangu hakuna chama chenye sera ya namna hiyo, tafuta na soma sera za vyama uelewe usingoje kudanganywa na watu kama kina sheikh Ponda
 
Back
Top Bottom