Bodi ya TANESCO yaamua kumtimua kazi Mhando! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya TANESCO yaamua kumtimua kazi Mhando!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, Oct 31, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  [​IMG]
  Ni uamuzi rasmi wa Bodi ya Tanesco baada ya kimya cha muda mrefu
   

  Attached Files:

 2. NAPITA

  NAPITA JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5,076
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Habari nilizozipata mda si mlefu aliekuwa bosi wa tanesco atimuliwa kazi rasmi nawakilisha
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  embu ikuze hiyo document wengine hatuko kwenye pc
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  angetakiwa aanze rais wa nchi, yeye ndiye kawafikisha wenzie wote hapo walipo kwa UDHAIFU wake! rubbish!
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ngoja nijaribu mkuu au Mods wanaweza kusaidia katika hili. Pia kama simu yako ina-zoom hebu jaribu kufanya hivyo ili uisome kwa uzuri
   
 6. NAPITA

  NAPITA JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5,076
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  safi lazima atimuliwe tu na bado kunawengine wanafuata
   
 7. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Maonevu tupu. Nakutakia maisha mema huko uendakako Injinia Mhando. Wamekutenda kwa sababu ya vita vya kimaslahi
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Kama alifanya makosa na yakajulikana kumwachisha kazi pekee nidio suluhisho au
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Good!
  ......
   
 10. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  waweza kufafanua?
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nina uhakika kufukuzana hakutaleta umeme wa uhakika
   
 12. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hii story yako yaani ni mifupa tupu! Tupia tupia vinyama nyama kidogo basi mkuu NAPITA!
   
 13. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nini tatizo hadi kusimamishwa kazi
   
 14. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona hiyo taarifa haijafafanua hatima ya Wakurugenzi wegine waliosimamishwa naye?
  Au ndiyo imekula kwake peke yake tu.
   
 15. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hata mie nimekuwa nikijiuliza hivyo, haielezwi kama wao wamekutwa safi na kurejea kazini ama nao wametimuliwa.

  Inawezekana Target alikuwa Mhando hao wengine waliingizwa kufunika kombe
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwa kuna ushahidi wa wazi wa ubadhirifu, ni matarajio ya watanzania wengi kuwa kesi didi yake haitachukua muda mrefu kukamilika
   
 17. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Uonevu
   
 18. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Atakuwa ametolewa kafara -a scape goat!
   
 19. NAPITA

  NAPITA JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5,076
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  kaka sitaki kualibu mambo sana tayari washatupia nyama naona wamekusikia
   
 20. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  tusubiri tuone
   
Loading...