Swali;shibuda yupo wapi?

Swali;shibuda yupo wapi?

Kimagege

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
283
Reaction score
88
Kwa muda sasa simsikii tena yule mbunge wa chadema anayependa sana kuropoka hovyo.kwa anayejua alipo mtu huyu na anafanya harakati gani basi atujuze.
 
naona kakaa kimya baada ya kushtuka kuwa watu wamemshtukia kwa yeye ni boya,atasema nini sasa amemaliza kwa muda mfupi kujionyesha kwamba ni juha.
"dont argue with a fool,he will pull you down to his level and beat you with experience
 
Jana alikuwa ndani ya bunge na alichangia hoja ya upanuzi ya hifadhi ya gombe.
 
yuko lumumba mpaka ubwabwa nyama uishe ndo ataondoka
 
shibuda ni gugu maji! ni mganga njaa! mshamba fulani hivi anayetumika na magamba.
 
Sichangii lolote kwa mada ya huyu mtu.
 
Kwa muda sasa simsikii tena yule mbunge wa chadema anayependa sana kuropoka hovyo.kwa anayejua alipo mtu huyu na anafanya harakati gani basi atujuze.

Mtafute kwa Simu Yake uongee naye
 
Ninapoandika haya namuona kupitia TBC akichangia mjadala Bungeni
 
Namba zake hizi hapa mtafute 0785 032674 nadhani utamalizana nae.
 
Kwa muda sasa simsikii tena yule mbunge wa chadema anayependa sana kuropoka hovyo.kwa anayejua alipo mtu huyu na anafanya harakati gani basi atujuze.
mtu mzima kajistukia kaona ajikalie kimya........
 
Namba zake hizi hapa mtafute 0785 032674 nadhani utamalizana nae.
haa haa haa, hii kali!! Nadhan kwa kutoa namba yake thread hii inaweza kufungwa mana mtoa mada atakuwa ameshampata anayemtafuta.
 
Back
Top Bottom