Kanjanja mwingine wa elimu ni Dr. Hamis Kigwangala

Kanjanja mwingine wa elimu ni Dr. Hamis Kigwangala

Joined
Apr 3, 2012
Posts
28
Reaction score
7
Ndugu wanajamvi nilifikiri watu hawa wapo tu wizarani kumbe hata Bungeni wamo,Mh Kigwangala ameniacha hoi pale aliposhindwa hesabu za darasa la pili,hebu tazameni alichoweka kwenye wall yake ya facebook[h=5]Mpaka sasa CCM ina Kata 21, CDM 4, na TLP 1 kati ya 21 zenye uchaguzi mdogo! Hongera makomredi wote na pole watani wetu[/h]na uone alivyojumlisha hiyo hesabu "
 
Hamisi Kigwangalla

Mpaka sasa CCM ina Kata 21,CDM 4, na TLP 1 kati ya 21
zenye uchaguzi mdogo!
Hongera makomredi wote na pole watani wetu...

Kutoka kwenye wall yake Facebook.
 
Ndugu wanajamvi nilifikiri watu hawa wapo tu wizarani kumbe hata Bungeni wamo,Mh Kigwangala ameniacha hoi pale aliposhindwa hesabu za darasa la pili,hebu tazameni alichoweka kwenye wall yake ya facebookMpaka sasa CCM ina Kata 21, CDM 4, na TLP 1 kati ya 21 zenye uchaguzi mdogo! Hongera makomredi wote na pole watani wetu

na uone alivyojumlisha hiyo hesabu

NADHANI HUSSEIN BASHE AMEMTISHIA TENA NA BASTOLA WAKATI ANAJUMLISHA HESABU HIYO :target:CALCULATOR IKAPOTEA
 
anazeeka vibaya...
ndio zake kukurupuka,
eti nae ni daktari?
 
Huyu dr. Vitumbua ni kilaza wa kutupwa.

NB: weka mbali na watoto.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwani ulikuwa hujui!! Msomi yeyote aliyekubuhu hawezi kujiingiza kwenye siasa chafu asiwe ameishiwa.
 
Ndiyo nini sasa hiyo? Mbona ni kama typo tu, badala ya ...kati ya 21, weka 29, kwani wewe hujui zilizokuwa zina uchaguzi ni kata 29?
 
Back
Top Bottom