SIAFIKI CUF na CHADEMA KUJIUNGA KUING'OA CCM.

SIAFIKI CUF na CHADEMA KUJIUNGA KUING'OA CCM.

Jpk

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
25
Reaction score
4
Jamani mimi sidhani kuwa njia pekee ya chadema kuelekea ikulu 2015 ni lazima wafunge ndoa na cuf. Hapa jambo la msingi ni kila chama kinadi sera zake mbele ya wananchi. Watanzania wa leo wanauelewa sana hivyo watapembua na kuchagua chama chenye sera na dira ya kuwakomboa wananchi kutoka kwenye manyanyaso, ufukara, uonevu, na maradhi ya kiu ya kutopata haki. Siafiki kabisa suala la kufunga ndoa za mitala kwan hao wanataka kualibu chama kama ilivyo cuf zanzibar sasa hivi. Watanzania tuwen macho tusidanganyike.
 
Back
Top Bottom