Huyu ndiye mbunge wa Morogoro mjini!

Huyu ndiye mbunge wa Morogoro mjini!

Shembago

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
332
Reaction score
50
CV ya Mbunge wa Mji kasoro bahari,je inakaidhi viwango vya Sayansi na technolojia ya karne ya 21? Jamaa ni Form 4 tena Failure wa Forst secondary those undefine years back! 2015 vipi hii tukiibadili?

[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Abdul-Aziz
Middle Name: Mohamed
Last Name:Abood
Constituent: Morogoro Mjini
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 127, Morogoro.
Office Phone: +255 754 261 888/+255 784 261 888/+255 758 500 000
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: aabood@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 27 May 1959

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%"] Member picture
1648.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Bungo Primary School
Forest Hill Secondary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Morogoro Mjini
Abood Group Inc.Director

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of National Executive Committee (NEC)
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Regional Committee
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Finance Committee

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
 
jamaa ananiachaga hoi ana basi maalumu la kwenda kuzikia watu msiba ukitokea tu gari linapelekwa ,sijawahi ona akitoa gari kumpeleka mgonjwa hosipitali ,ila kwenye msiba haraka, mpaka kunakamati maalumu ya mazishi
 
Hapo ongeza CV ya pesa.Tatizo kubwa liko kwa walio mchagua.
 
Na huwa hachangii BUNGENI. Amekuwa MBUNGE ili arahisishe biashara zake, na kujenga UKUTA wa kuwakwepa TRA kwenye BIASHARA zake pamoja na kurahisisha ufanyaji biashara zake. Hilo ndilo dhumuni kuu la wabunge kama hawa.
 
Unajua sisi wa TZ tuna mambo ya ajabu sana ukienda kanisani hasa ya le makanisa yetu yale bila fweza hupewi uzee wa kanisa, ubunge ndio hivyo tena nadhani pia na kaumaarufu kidogo sitashangaa kuona akina wema, diamond, Ray na wengineo siku moja kugombea ubunge....Nafikiri ile staili waliyomg'oa nayo mrema mpaha akawa na hasira sasa ana PHD dawa ile ile waitumie Bungeni...maana siku hizi ni kama sehemu ya mipasho vile na mchiriku!
 
huyu hakuzaliwa tanzania na hana jipya ndio maana hana specific year
 
Uzuri wake ni mtu wa vitendo tu. Akiahidi kitu anatekeleza. Hao wenye CV nzuri wamefanya nini?

Akiahidi nini?

Kwani jukumu la wabunge ni nini?

Kama wabunge wote wakiwa na pesa kama yeye na kuahidi vimiradi kuridhisha wananchi, nani atatunga sheria? Nani ataangalia vision ya nchi? Nani atakosoa mwenendo wa nchi pale ambapo una walakini?

CCM wametufikisha pabaya kwa kupotosha kazi za wabunge. Wabunge si wajenga madaraja. Wabunge ni wasimamizi wa kuhakikisha kodi inayolipwa na wananchi inawarudia na kuwatengenezea miundo mbinu ya maendeleo. Wabunge wanapaswa kutolea muda wao wote kufikiri masuala ya uelekeo wa nchi, kiuchumi, kielimu, afya, na sekta nyingine za uzalishaji.

Kama tukirudi kwenye masuala ya msingi ya mbunge na si kudanganyia watu kwa pipi kama watoto wadogo, tunahitaji wabunge wanaoweza kuelewa duniaa inavyoenda na kutafakari changamoto zetu ili kutoa mchango kwa ajili ya maendeleo yetu.

Wabunge vihiyo na mafisadi ni janga kubwa la Taifa. Tuwakatae kwa kutowapigia kura.
 
CV inatosha kuwapa wanachi gari(Basi) la kupeleka wafiwa Kola hill.
 
Achana na CV angalia utendaji wake kwenye jimbo lake, kuna Majimbo walichagua Maprof na MaDk lakini hawafanyi kitu majimboni mwao. Ubunge siyo kazi ya kusomea na wala mbunge siyo CEO au MD, Mbunge ni mtumishi wa watu na siyo lazima uwe na degree ndiyo utumikie wananchi wako, huyo jamaa ana resource za kuwasaidia wananchi wake kukabiliana na hali ngumu ya maisha.
 
Aanzishe NGO lakini si ubunge.

Narudia tena CCM wamepotosha kazi ya mbunge kwa kuibadili kuwa kama charity au Project manager wa NGO.

Kama tutachagua wabunge wote wawe watu wenye resources za kusaidia watu, kwa nini tunalipa kodi? Kodi zetu ni za nini? Nani atatunga sheria, na kuchangia marekebisho ya miswada hiyo? Nani atakosoa mwelekeo wa serikali pale inapopotoka?

Mkuu Micha mbunge anapaswa kuwa mtu mwenye uelewa wa kutosha wa dunia na nchi inavyoenda, awe na uwezo wa kujenga hoja na kuzitetea. Hii inahitaji elimu na akili yenye udadisi. Hayo tu yanatosha kumfanya mbunge awe mzuri. Mambo ya miradi ya maendeleo kodi zetu ndizo zinazopasika kutumika, na mbunge asimamie zitumike vizuri na ahoji zinapofujwa.

Kwa kupotosha hivyo mmefungulia mlango mafisadi, wezi, vihiyo n.k. kuvamia kazi ya uwakilishi na utunzi wa sheria.

By the way, hawa matajiri vihiyo wanaotafuta ubunge, wakiupata wanautumia hasa kunufaisha biashara zao, na wanawadanganyia tu vitu tudogo tudogo sana.

This is very bad indeed.
 
CV ya Mbunge wa Mji kasoro bahari,je inakaidhi viwango vya Sayansi na technolojia ya karne ya 21? Jamaa ni Form 4 tena Failure wa Forst secondary those undefine years back! 2015 vipi hii tukiibadili?

Member of Parliament CV

SalutationHonourableMember picture
1648.jpg
First Name: Abdul-Aziz
Middle Name:Mohamed
Last Name:Abood
Constituent:Morogoro Mjini
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 127, Morogoro.
Office Phone: +255 754 261 888/+255 784 261 888/+255 758 500 000
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: aabood@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 27 May 1959

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location
Bungo Primary School
Forest Hill Secondary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Morogoro Mjini
Abood Group Inc.Director

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of National Executive Committee (NEC)
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Regional Committee
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Finance Committee

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]

Kwa CCM kiongozi aweza kuwa yeyote yule ilimradi anajua KUSOMA na KUANDIKA
 
Kwa CCM kiongozi aweza kuwa yeyote yule ilimradi anajua KUSOMA na KUANDIKA

Kinachonisikitisha ni kuwa CCM wamefanikiwa kuwapotosha watu wasielewe tena majukumu ya msingi ya wabunge: Kutunga sheria, na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.

CCM wamefanikiwa kuwasadikisha wananchi kuwa mtu ambaye "ana resource za kuwasaidia wananchi wake kukabiliana na hali ngumu ya maisha - Micha" ndiye anayefaa kuwa mbunge wao.

Hii tuanzie hapa JF kukosoa na kutoa elimu ya uraia hata kwa wana JF waliomezeshwa upotoshaji huu.
 
Last edited by a moderator:
CV ya Mbunge wa Mji kasoro bahari,je inakaidhi viwango vya Sayansi na technolojia ya karne ya 21? Jamaa ni Form 4 tena Failure wa Forst secondary those undefine years back! 2015 vipi hii tukiibadili?

Member of Parliament CV

Salutation
Honourable
Member picture
1648.jpg

First Name:
Abdul-Aziz
Middle Name:
Mohamed
Last Name:
Abood
Constituent:
Morogoro Mjini
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 127, Morogoro.
Office Phone:
+255 754 261 888/+255 784 261 888/+255 758 500 000
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
aabood@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
27 May 1959

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL
[/TH]

[TD="width: 20%"] Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member
[/TD]
School Name/Location
Bungo Primary School
Primary Education
-
-
PRIMARY
Forest Hill Secondary School
Secondary Education
-
-
SECONDARY

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION
[/TH]

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%"] Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%"] End Date
[/TH]
[TH="width: 10%"] Level
[/TH]
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Morogoro Mjini
2010
2015
Abood Group Inc.
Director
1984
2010

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member of National Executive Committee (NEC)
2007
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member of Regional Committee
2006
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member of Finance Committee
2000

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%"]Position
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%"]From
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%"]To
[/TH]

Kwaani hao wasomi wamefanya nini? si wezi tu. bora hata abood anatujari watu Morogoro tukiwa na matatzi mbalimbali. Wasomi ni wezi tu.
 
Back
Top Bottom