Lowassa mwache Kikwete ameshanyoosha mikono!

Lowassa mwache Kikwete ameshanyoosha mikono!

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,865
Wakati wa vita ya Rwanda jeshi la RPF lillokuwa la watutsi lilimuweka Muhutu Alex Kanganyayalengwe ili kuwadanganyaa wanyarwanda kuwa hawana ubaguzi. Na walipopata madaraka wakamuweka Paschal Bizimungu muhutu mwingine kuongoza nchi rais kwa lengo hilo hilo. Nimeanza na mfano huo kuonyesha uenyekiti wa Kikwete kuwa hauna madhara kwa Lowassa kiasi cha kufikiria kumtengenezea mkakati wa kura za maruhani.
Ukweli ni kuwa Lowassa ana nguvu sana kwenye chama kuliko Kikwete! Kama unadhani namfurahisha EL jaribu kufikiria kama uchaguzi wa Mwenyekiti angekuwa ni JK Vs EL nadhani jibu unalo. Hivyo sioni sababua ya kura za maru
hani ili iweje? Uchaguzi ulivyokwenda UVCCM, UWT, sina uhakika sana WAZAZI ilikuwa pigo tosha kw JK. na Hata Nape aliyekuwa na kilele za mafisadi ameshanywea, kama ulisikiliza mahojiano yake jana BBC na Mgeja utakuwa shahidi. Nape anakubaliana kila kitu na Mgeja???? Lowassa ni mgombea wa CCM ukiondoa mapenzi ya Mungu, ila kazi aliyonayo ni kupambana na upinzani maana namfananisha na mamba. ANA NGUVU AKIWA MAJINI {CCM} ukimtoa nje anaweza kuvuliwa kama dagaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom