Ndugu zangu wapenda mabadiliko watanzania wa kweli Asalam aleikum!
Baada ya kuwa mmepotelea kwenye siasa za magamba muda mrefu naomba kuwajulisha kuwa kwa utaratibu waliobuni mkoani Kagera kila baada ya miezi mitatu, kamati tendaji ya mkoa hukaa wilaya mmojapo mkoani hapo. Baada ya Ngara sasa ni zamu ya Karagwe ambapo wajumbbe 80 wataungana na makamanda wa Karagwe kushambulia vijiji na vitongoji vya wilaya hiyo.
Maandalizi yanakwenda vizuri. Makamanda kama Rwakatare, Mh Mbasa, Conchesta Rwamlaza na kamanda toka makao makuu ambaye hajajulikana. Tupia jicho hapa kuanzia th 23 novemba, picha za kutosha. Nipo huku kikazi