CHADEMA TAFUTENI MCHAWI MWINGINE LAKINI SIO CUF. think twice.

CHADEMA TAFUTENI MCHAWI MWINGINE LAKINI SIO CUF. think twice.

mwigo

Member
Joined
May 8, 2012
Posts
45
Reaction score
15
[h=5]jumla madiwani wapo 14 ktik wilaya ya ILEMELA , na waliokuwa wanahaki ya kisheria ya kupiga kura ni 12, ambao ccm ni 5, cuf 1, cdm 6, na wawili walivuliwa uanachama ktk jumla ya wale 14. na inavotakiwa kisheria robo tatu ya madiwani
yanamuwezesha diwani kushinda umayor au unaibu mayor, sasa basi kilichotokea huyu mayor MATATA aliotambulishwa na katibu wa wilaya ilemela wa cdm kuwa ndie mgombea umayor, na ccm wakaongea nae kuwa watampa kura yao ili ashinde na yeye MATATA awapigie kura yake ktk unaibu mayor. kumbuka kisheria nikuwa robo tatu ya madiwani ndio itawafanya washinde kwa maana madiwani 7 kati ya 12 anatangazwa mashindi. je kwanini cdm waseme hawamtambui na uchaguzi urudiwe??? kisheria katibu wa wilaya wa chama husika ndio anatakiwa kumtambulisha mgombea, na chadema wao katibu wa wilaya kamtambulisha mgombea ambaye ni MATATA, wakati huo huo chama makao makuu kupitia waziri kivuli wa cdm ndio alieandika barua ya kumtambulisha mgombea mwingine ambae kutokana na sheria ilivo za halmashauri hairuhusiwi kiongozi tofauti na KATIBU WA WILAYA na ndio maana halmashauri ikampitisha MATATA.[/h]
 
CDM taifa wanatakiwa kulaumiwa matatizo ya mwanza hayajanza leo hayo yanaoyotokea ni matokeo ya kukalia uwozo kwa muda mrefu, pale mwanza ni kama hakuna viongozi wa CDM waliopo kwa kuwangalia tu unaojua wamekaa ki maslahi zaidi na ni mamluki hawana strategies wapo wapo tu wamebakia kila mtu na kundi lake.
 
CDM taifa wanatakiwa kulaumiwa matatizo ya mwanza hayajanza leo hayo yanaoyotokea ni matokeo ya kukalia uwozo kwa muda mrefu, pale mwanza ni kama hakuna viongozi wa CDM waliopo kwa kuwangalia tu unaojua wamekaa ki maslahi zaidi na ni mamluki hawana strategies wapo wapo tu wamebakia kila mtu na kundi lake.

Wabunge wote wa chadema mwanza kwa maana ya wenje na kiwia walishinda kwa sababu ya misuguano ndani ya CCM hasa kambi ya masha na dialo, sio kweli kuwa walikuwa wanakubalika sana, mbaya zaidi baada ya uchaguzi wao wakenda honey moon ya madaraka na kujiamnisha mwanza ni yao milele. Wenje ni tatizo kubwa kwa siasa za chadema mwanza , uwepo wake kamati kuu anautumia vibaya kuwaburuza wenzake mwanza, wasipotibu matatizo haya mwanza inarudi kuwa ngome imara ya ccm hasa baada ya dialo kuanza kupatanishwa na masha na kuanguka kwa clement mabina.
 
Back
Top Bottom