Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wiki moja ya operation tokomeza CCM hanang imekamilika jana, CCM iko hoi bin taabani! Najaribu kutupia picha hapa hali ilivyokuwa! Tulipofikia CHADEMA wananchi hawahitaji majina makubwa tena...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Watanzania woooote kwa sasa tupo katika kipindi cha mpito cha kuandika Katiba mpya itakayotokana na maoni tunayoyachangia hivi sasa. Katika michango inayoendelea, wamejitokeza watu ambao wameeleza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Viongozi karibu wote wa nchi hii hawana utamaduni wa kuandika AUTOBIOGRAPHIES/BIOGRAPHIES {Historia ya maisha yao) kama walivyo viongozi wa nchi nyingine. Je ni kwasababu gani hawafanyi hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni pekee ninayemwona ana udhati wa moyoni wa upendo wa nchi yake. Ameshaongea mengi ambayo ni makubwa na yanaweza hata kumgharimu kwa vyovyote vile lakini ameyasema. Ni mtendaji wa uhakika, hana...
13 Reactions
111 Replies
10K Views
Ili kuthibiti wizi wa kura, tunataka mfumo wa kielectronic utumike katika shughuli nzima za uchaguzi, Hii itapunguza hata wizi wa kura. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo katika taarifa ya habari ITV asubuhi, nimesikiliza maelezo ya kamati ya utalii na mwenyekiti wa bodi ya TANAPA na imenihalibia siku kabisa. >Kwamba katika kila mtalii anayelala katika Hoteli...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wanajamvi kwa maoni yangu naona ni wakati mwafaka sasa wa kutenganisha siasa na jeshi.liwe la polisi,jwtz,magereza... kwasababu mlinda usalama huyu anapogombea au anapoteuliwa na chama tawala...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam jana walijitokeza kumlaki mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibroad Slaa, ambaye wakati akihutubia wananchi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mpango wa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwamo mawaziri kuanza ziara mikoani, hauwezi kukisaidia chama hicho kujiimarisha kisiasa...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Katika kikao cha madiwani leo mjini Bukoba, Balozi Kagasheki (Mbunge Bukoba Mjini) amejikuta hana diwani anayemuunga mkono alipotaka mpango wa kubomoa soko kuu la Bukoba ucheleweshwe. Madiwani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi kuna taarifa zimeanza kuzagaa mitaani kuwa Ndugu Bernad Membe yuko katika mikakati ya kuandaa barua za kutosha na hatimaye kugawa katika ngazi zote za Wilaya na hatimaye Mikoani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mhe.freeman Mbowe amesahau maneno yake haya aliyo yasema mwaka 2010. maneno yenyewe ni haya nanukuu. '''MABADILIKO YA KWELI KATIKA TAIFA HAYAWEZI KULETWA NA WATU WALEWALE, WA CHAMA KILE KILE...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wednesday, November 21, 2012 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabunge wabaini ufisadi katika umilikishaji hoteli za serikali Mikataba yote iliyoingiwa kati ya mwekezaji wa Kampuni ya Hotels and Lodges (T) Ltd (Tahi) na iliyokuwa Tume ya Rais ya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
E Lowasa ni kiongozi mvumilivu na mwenye kustahili tuzo ya mwanasiasa mvumilivu kuliko hata mzee Marecela.Ni mvumilivu kutokana na siasa za maji taka ambazo zimeshamiri katika nchi yetu.Ni msikivu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutotumia muda mwingi kuvishambulia vyama vya siasa. Badala yake Dk. Slaa amemtaka...
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Na Mohammed Mhina, waJeshi la polisi Wednesday, November 21, 2012ZANZIBAR JUMATANO NOVEMBA 21, 2012. Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar leo imepunguza masharti ya dhamana kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Deus Bugaywa Toleo la 268 14 Nov 2012 WAKATI wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan, wakazi Manispaa mpya ya Ilemela wakiwa katika sintofahamu juu ya utata wa uchaguzi wa Meya wa Manispaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimewataka wananchi wasivae sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kuwa kitendo cha kuzivaa kinaonyesha ni kwa jinsi gani wanavyokiunga mkono. Kauli hiyo ilitolewa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaofatilia kipindi maalum ITV tujuze anatuambianini kuhusu madai yetu walimu.Mugomo upo au ndo hivyo serikali imetutosa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…