BabaK
Member
- Jun 30, 2009
- 14
- 0
Leo katika taarifa ya habari ITV asubuhi, nimesikiliza maelezo ya kamati ya utalii na mwenyekiti wa bodi ya TANAPA na imenihalibia siku kabisa.
>Kwamba katika kila mtalii anayelala katika Hoteli zilizo katika hifadhi na Mbuga zetu, selikali huambulia dola 4 na wawekezaji dola zaidi ya mia tatu (300)
>Kwamba Hoteli hizo sio tu ziamilikiwa na wawekezaji bali serikali ineziuza moja kwa moja na si mali ya Tanzania tena. Nanukuu '' Muheshimiwa mwenyekiti, hoteli hizi si kuwa zimemilikishwa kwa wawekezaji kwa Muda, Bali zimeuzwa parmanently kwa hawa wawekezaji, na selikali ikizitaka labda inunue tena''
Only in TANZANIA.....Tafakari na chukua HATUA..........