Kitila: Namkubali Kinana na Mangula

Kitila: Namkubali Kinana na Mangula

Status
Not open for further replies.

Kageuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
241
Reaction score
59
Mwanazuoni Dk. Kitila akiwa katika kipindi cha This week in pespective TBC muda si mrefu pamoja na Joseph Butiku, Dk. Benson Bana amesema katika sekretariati mpya ya CCM anawakubali Mangula na Kinana, kwamba angalau kwa sasa. Nawasilisha kwa ajili ya mjadala.

Topic Update:
Hapa mnajadili hewa. Tujifunze kujadili hoja kwa ukamilifu wake. Sasa mtu kawaletea visound bite alivyoviunda mwenyewe tayari watu mnatumia kuhitimisha. Ukitaka kuwa fair kwenye kujadili kauli ya mtu fanya transcriptions ya akichokisema ndio ufungue mjadala.
 
Mwanazuoni Dk. Kitila akiwa katika kipindi cha This week in pespective TBC muda si mrefu pamoja na Joseph Butiku, Dk. Benson Bana amesema katika sekretariati mpya ya CCM anawakubali Mangula na Kinana, kwamba angalau kwa sasa. Nawasilisha kwa ajili ya mjadala.

Acha uwongo wako wewe CCM
 
Peleka uwongo wako wa kijinga huko! Unaleta umbea wa kijinga hapa
 
Lazima ayakubali maana ni majembe ya kweli na yatawamaliza chadema na m4c yenu sasa ni mguu kwa mguu neno kwa neno jibu kwa jibu hadi mtutambue kwamba sisi ni chama Dume vingine ni majike!!
 
Lazima ayakubali maana ni majembe ya kweli na yatawamaliza chadema na m4c yenu sasa ni mguu kwa mguu neno kwa neno jibu kwa jibu hadi mtutambue kwamba sisi ni chama Dume vingine ni majike!!

Akili yako ni sawa na jina lako. Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuyakubali yale masalia.
 
Hivi Magamba ndo kusema kwamba kwenye hazina yao ya watu wameisha kabisa mpaka kuamua kwenda kuifufua Misukule!
 
Peleka uwongo wako wa kijinga huko! Unaleta umbea wa kijinga hapa

Anayejua hicho kipindi kinarudiwa tena siku gani na muda gani atueleze ili wote wanaobisha wake ukweli ni upi na upi uongo. Tahadhari ni kwamba kipindi kinaendeshwa kwa lagha ya malkia yaani kiingereza. Tuelezene wale mnaojua siku ya marudio ya kipindi hiki plse.
 
Sintoshangaa siku nikisikia wamemrudisha Makamba Yusuf kuwa Katibu Mkuu!
 
Sintoshangaa siku nikisikia wamemrudisha Makamba Yusuf kuwa Katibu Mkuu!

Na bado utashangaa sana, kwani hukusikia naye Mtei anautaka urais 2015? Kumbuka siku aliyosema Zitto asizungumzie urais bali ajenge Chana kwanza na Kama ni urais Mbowe, Slaa na yeyye wanautaka pia.
 
Wewe ndo huna akili na kwa taarifa yako, hao ndiyo makamanda wa vita. mnajigamba sana na hao mnao waabudu kwamba watawaokoa lakini sasa cha moto watakiona hii ndio ccm achana na cdm ya makelele.
 
Mwanazuoni Dk. Kitila anawakubali Mangula na Kinana,.
1. Mipango ya EPA ilianzia CC ya CCM, na mipango ya Deep Green, Meremeta,
2. Kumekuwa na macontainer yanayosarisha Pembe za Ndovu kwa miaka kadhaa hata leo hii container zima limekamatwa huko Hong Kong linaloanzia D'salaam, mmmmh Sidhani kama Kitila hana hizi Data.
 
Hivi Magamba ndo kusema kwamba kwenye hazina yao ya watu wameisha kabisa mpaka kuamua kwenda kuifufua Misukule!

Huyu kinana nasikia anatuhumiwa na mambo ya meno ya tembo na mambo ya OBC aka Ortelo Buiness ya mwarabu kule loliondo ama kweli CCM ina wenyewe, hwa akina kigwangala, matefu, makonda na wenzao walie tu.
 
Kwani Kitila Mkumbo ndio nani awakubali au asiwakubali haijazi wala haipunguzi huyo si mwana kiwanda mwingine tu.
 
Pole sana najua bado una angaishwa na bomu moja la Dr, je angerusha mawili?
Kwani Kitila Mkumbo ndio nani awakubali au asiwakubali haijazi wala haipunguzi huyo si mwana kiwanda mwingine tu.
 
Duh.. Mtakoma na umbea wenu hata kama anahusika na twiga wacha meno ya tembo kinana ndiye kiboko chenu na wasira ni mwarobaini mwaka huu hamtoki mbona mtajuta kumtambua kinana mangula nchemba nape asha zakia na timu yote ya mstari wa mbele!!
 
Pole sana najua bado una angaishwa na bomu moja la Dr, je angerusha mawili?

Hana bomu wala fataki. Hivi ana kipi zaidi? mie namuona porojo tu, hana tofauti na wewe na yule dada sijui kaka anaejiita Mzee Mwanakijiji. Wote ni viwanda tu.
 
Huna lolote mleta mada,awakubali hawa mafisadi kwa lipi?halafu pale si walikuwa wanaongea kiingereza?naona kimekupitia kushoto na wewe unakijua cha msoga hatimaye umamuwekea maneno dr. kitila.....
 
Nilichotambua hapa ni kwamba mleta mada lugha ya malkia haipandi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom